Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limezindua rasmi mfumo wa matumizi ya mita janja ambazo tayari zimeshaanza kutumika husasani kwa wateja wapya wanaounganishiwa umeme, huku wateja wa zamani wakitarajiwa kubadilishiwa mita hizo kwa awamu.
#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi