Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imepongezwa kwa kufanya vizuri kwenye udhibiti wa matumizi ya fedha na kushinda tuzo ya Taasisis za Umma zilizofanya vizuri zaidi kwenye udhibiti huo.

Baada ya ushindi huo, Mkurugenzi wa DCEA, Aretas Lyimo amesema mafanikio ya ukamataji wa dawa za kulevya unachagizwa na serikali kuendelea kuiwezesha kwa rasilimali fedha, vifaa na rasilimali watu.

Imeandaliwa na Sheila Mkumba.

Mhariri @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *