Mwaka mmoja uliopita familia ya mwandishi wa Azam TV, Benson Eustace iliingia katika rekodi baada ya kufanikiwa kupata pacha wanne.
Baada ya zaidi ya siku 366, familia hiyo inaeleza ‘tamu, chungu’ ya kujaaliwa uzao wa watoto hao.
Ester Sumira amewatembelea.
#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi