NBC Premier League Jumapili hii ni Mzizima Derby

Mnyama Simba SC atakuwa dimba la Benjamin Mkapa akiwakaribisha matajiri wa jiji AzamFC.

Mechi hii itachezwa kuanzia saa 11:00 jioni na kuruka mbashara kupitia AzamSports1HD.

Je, ni mnyama ama matajiri wa jiji nani kuondoka na tabasamu?

Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama mchezo huu.

#MzizimaDerby #SimbaSC #AzamFC #NBCPL

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *