Wakulima wa mazao ya chakula na biashara nchini wametakiwa kujisajili kwenye kanzi-data ya mtanadaoni inayosimamiwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea nchini (TFRA) ili kupata uhakika wa kupata pembejeo zenye ubora sambamba na kuirahisishia Wizara ya Kilimo upatikanaji wa taarifa za mahitaji ya pembejeo za ruzuku kwa maeneo husika.

Henry Masanja na Joyce Mwakalinga wameangazia msisitizo huo ukitolewa kwa wakulima wa Simiyu sambamba na elimu ya faida ya usajili huo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *