#HABARI: Kundi lenye Tembo zaidi ya 15 wamevamia hekari zaidi 55 na kula pia kuharibu zaidi ya hekari 3 za miti ya mikorosho, mahindi na miti ya matunda, kwenye kilimo cha umwagiliaji kilichopo Kitongoji cha Imiga Kijiji cha Mkiwa, Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi, mkoani Singida na kusababisha hasara kubwa kwa wawekezaji.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *