#HABARI: Mchambuzi wa Masuala ya Uchumi na Siasa, Yericko Nyerere, amewataka vijana kutodanganyika na wito wa maandamano unaoenezwa mitandaoni na watu walioko nje ya nchi huku akisisitiza kuwa matokeo ya vurugu yoyote yatawaathiri Watanzania wenyewe.

Amesema pamoja na changamoto za kisiasa na kiuchumi, Tanzania inaendelea kujijenga, hivyo ni wajibu wa kila kijana kulinda amani na kushiriki katika maendeleo.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *