#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Balozi Simon Sirro amekagua miradi miwili ya maji katika Wilaya ya Buhigwe mkoani Kigoma itakayogharimu zaidi ya shilingi bilioni 14.6 na kusaidia kutatua changamoto ya maji katika vijiji zaidi ya kumi na kuagiza miradi hiyo ikamilike kwa wakati ili kumaliza adha ya maji kwa wananchi hao.

Balozi Sirro amesema hayo wakati akiendelea na zoezi la ukaguzi wa miradi hiyo inayojengwa katika vijiji vya Mnanira na Mwiranka itakayoweza kuhudumia vijiji kumi hivyo kuondoa adha ya maji na kuwasaidia wananchi kufanya shughuli nyingine za maendeleo.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *