Umuhimu wa Familia Kupeana Zawadi

Kupeana zawadi ndani ya familia huimarisha upendo, mshikamano na furaha. Zawadi huonyesha kuthaminiana na hujenga umoja wa kifamilia.

👉 Changia maoni yako:
Je, kupeana zawadi kuna umuhimu gani katika familia yako?

✍️ Maoni yako yatasomwa kwenye kipindi cha TV Kilinge cha Familia.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *