#MEZAHURU“….Wizara ya Maji ina jukumu la kutoa huduma ya maji kwa Watanzania waishio mijini na vijijini, lakini kwa eneo hili la Dar es Salaam na eneo la Pwani, tumeipa ama kuanzisha Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira (DAWASA), ndio yenye jukumu la kutoa maji Dar es Salaam na Pwani, sasa mamlaka hii chanzo chake inachokitegemea ni Wami Ruvu kwa maana ya Mto Ruvu….nchi yetu imepata hii athari ya mabadiliko ya tabianchi….kile chanzo tunachokitegemea cha Mto Ruvu kina kimepungua kwa sababu mto wetu unategemea mvua….”-Waziri wa Maji – Mhe. Jumaa Aweso.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania