Katika kuhakikisha wananchi wanapata majibu ya maswali yao, Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka amewataka maofisa habari wa Serikali kuacha uwoga na hivyo kutoa taarifa sahihi zinazohitajika kwa wananchi na kuwa washauri wa kimkamkati kwa viongozi wao kuhusu sekta hiyo na namna bora ya kuwasiliana na umma.

#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *