Waziri Mkuu wa Sudan, Kamil Idris ameliomba Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (UNSC) kusimama na serikali ya nchi hiyo ili kusaidia kumaliza vita vinavyoendelea kati ya majeshi ya serikali na wanamgambo wa RSF.

Mhariri @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *