Wananchi wa Kijiji cha mgagao na vijiji jirani wanaozunguka Kijiji hicho klilicho wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro wameondokana na adha ya kutembea umbaki mrefu kutafuta maji safi na salama,baada ya serikali kupitia wadau wa maendeleo,Jumuiya ya makalasinga Moshi mkoani humo kujenga kisima chenye uwezo wa kuzalisha maji lita 50,000 kwa siku.