Serikali imetangaza mpango wa kutoa ripoti ya utekelezaji wa ahadi zilizoahidiwa kufanyiwa kazi ndani ya siku 100 za kwanza za muhula wa pili wa serikali ya awamu ya sita.
Ripoti hiyo inayotarajiwa kutolewa Februari mwaka huu inatarajiwa kugusia sekta mbalimbali huku wadau wakionesha shauku ya kutoka kuzifahamu kwa kina yaliyofanyika kwenye sekta za elimu, vijana na uchumi.
#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi