Wafanyabiashara wadogo na wa kati waliopoteza mali na mitaji yao katika ajali ya moto ulioteketeza zaidi ya vibanda 34 usiku wa Disemba 30 mwaka jana wamesema ‘tuko njia panda’.

Kauli hiyo imekuja katikati ya tafakuri ya msemo wa Kiswahili wa ‘Mwaka mpya, mambo mapya’ kwani kwa upande wao ‘Mambo yamechacha’ huku hasara ya takribani Shilingi milioni 66 ikihitaji kulipiwa marejesho na baadhi ya wafanyabiashara hao.

Innocent Aloyce amezungumza nao.

Mhariri @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *