Mwaka mpya vitu vipya ndani ya AzamONE, MARVEL’s THE PUNISHER
Baada ya kulipiza kisasi kwa watu waliohusika na vifo vya mkewe na watoto wake, Frank Castle anaendeleza moto dhidi ya wahalifu wa New York.
Kwa sasa anajiita mtoa adhabu yaani ‘The Punisher.’ Je, atafika hadi wapi na kazi hii aliyojivika
Usikose kutazama series hii ya The Punisher, Ijumaa – Jumapili #AzamONE
#AzamONEUnloacked