Operesheni maalum ya kuwasaka na kuwabaini waajiri wasiosajiliwa na OSHA, sambamba na kufanya ukaguzi katika maeneo ya uwekezaji ili kubaini changamoto za kiusalama na kiafya kwa wafanyakazi wakiwa kazini.
Hatua hiyo inalenga kuimarisha ulinzi wa usalama na afya za wafanyakazi, pamoja na kuhakikisha waajiri wanazingatia sheria na kanuni za kazi.
KauliSerikali imetangaza mpango wa kufanya hiyo imetolewa na Waziri wa Kazi, Ajira na Mahusiano, Deus Sangu, wakati wa ziara yake ya kikazi mkoani Mwanza.
#AzamTVUpdates
✍Innocent Aloyce
Mhariri | @claud_jm