#HABARI: Mwili wa kijana Sigela Hamisi Maulidi, Afisa Usafirishaji wa Pikipiki, mkazi wa Kata ya Tumbi, Manispaa ya Tabora, aliyepotea tangu Januari 04, 2026, umekutwa umetelekezwa kwenye Msitu wa Matitumbi, uliopo maeneo ya kata hiyo ukiwa na majeraha, huku mikono na miguu yake ikiwa imefungwa kamba na pikipiki yake haijaonekana eneo la tukio.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.