#HABARI: Rais wa Marekani Donald Trump amesema Venezuela “itawasilisha” hadi mapipa 50m ya mafuta kwa Marekani, baada ya operesheni ya kushtukiza ya kijeshi iliyomuondoa Rais Nicolás Maduro mamlakani.
Mafuta hayo yatauzwa kwa bei ya soko, Trump aliandika kwenye mtandao wake wa kijamii wa Truth Social na kuongeza kuwa fedha hizo zitasimamiwa na yeye binafsi na zitatumika kuwanufaisha watu wa Venezuela na Marekani.
Tamko hilo linajiri baada ya kusema kuwa sekta ya mafuta ya Marekani itakuwa “ikifanya kazi” nchini Venezuela ndani ya miezi 18 na kwamba anatarajia uwekezaji mkubwa utaingia nchini humo.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
-
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.