Upepo unaofikia kilomita 40 kwa saa na mawimbi yanayofikia mita mbili umesababisha kudorora kwa shughuli za uvuvi na kuathiri shughuli za usafirishaji katika mikoa mitano ya Dar es Salaam, Tanga, Pwani, Lindi na Mtwara pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba.

Mhariri @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *