Kupitia kipindi cha #CloudsE kinachorushwa na Clouds TV, muigizaji na mtayarishaji wa filamu Patrick Kanumba ameweka wazi kuwa amefanikiwa kutimiza karibu asilimia 80 ya malengo yake ya mwaka 2025.

Amesisitiza kuwa siri ya mafanikio ni kuwakabidhi malengo kwa Mungu na kuandika yale unayoyaweza, kwani wengi huandika malengo kwa mihemko.

Patrick Kanumba @othmannjaidi1

Host: @neypova_

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *