Serikali yasema itaendelea kuweka mazingira wezeshi kwa wajasiriamali wadogo kote nchini ili waweze kunufaika kiuchumi kupitia shughuli zao jambo litakalosaidia kuboresha maisha yao kuchangia pato la taifa kupitia kodi watakayozalisha.