Kupitia kipindi cha Clouds E cha #CloudsTV, @rushaynah_ ambaye ni muigizaji na muandaji wa filamu, ameweka wazi kuwa kiki yake na msanii wa singeli Dullah Makabila ilimletea matatizo mengi.
Ameeleza kuwa kile kilichokuwa kikiendelea mitandaoni kilikuwa ni drama tu na si kweli, hali iliyowafanya watu wengi kushangaa kudhani ana mahusiano na Dullah Makabila.
Host: @neypova