Msanii kutoka Kenya, 10Ballz, ameweka wazi kupitia kipindi cha Clouds E ya #CloudsTV kuwa baadhi ya wasanii wa Bongo wanataka kubebwa kama watoto wa mwisho.

Ameeleza kuwa mtu anapowekeza kwao, muda wa kulipa wanaona wanaonewa.

Kwa mujibu wake, Harmonize hawezi kuifuta DNA ya Diamond kwenye muziki wake hata afanyaje na hii imetokana na kauli ya harmonize kuto kutaka kuhusishwa na msanii diamond kivyovyote vile

Host: @neypova_

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *