Utamaduni wa baadhi ya wanafunzi hususani wanaokuwa watahiniwa wa mitihani ya Taifa wa kuandika lugha isiyoaa ikiwemo matusi imekuwa ikiendelea licha ya adhabu ya kufutiwa matokeo kwa wanafunzi hao.
Je, chanzo cha tabia hii ni nini?
Joseph Mpangala ametafuta majibu.
Mhariri @moseskwindi
