Zaidi ya Shilingi Milioni 196 zimetolewa na Halmashauri ya Wilaya ya Bunda Mkoani Mara kwa vikundi 29 vya wanawake, Vijana na watu wenye ulemavu, huku makundi hayo yakitakiwa kuachana na upotoshaji wa mikopo hiyo kuwa imekuwa ikitolewa kwa kufahamiana.
