#VIDEO: Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wazazi taifa kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM),Bw#VIDEO: Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wazazi taifa kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM),Bw

#VIDEO: Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wazazi taifa kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM),Bw. Fadhili Maganya, ameonyesha kutoridhishwa na kitendo cha viongozi wa Serikali ngazi ya wilaya na halmashauri, kutokuwepo katika ziara yake wala wawakilishi wao huku akitoa wiki mbili kwa viongozi hao kushughulikia changamoto ya hatimiliki na upimwaji wa eneo la Shule ya Sekondari Hombolo iliyopo jijini Dodoma.

Hayo yamejiri mara baada ya Mwenyekiti huyo kufanya ziara katika shule hiyo kwa lengo la kuzungumza na wanafunzi wa shule nchi nzima kupitia shule hiyo na kubaini changamoto mbalimbali ili kupatiwa ufumbuzi.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *