Kubwa kwenye Mastori ya Town ni ongezeko la ving’ora barabarani hasa muda ambao kuna foleni, baadhi yakiwa ni magari ya watu binafsi wasiotaka kukaa kwenye msongamano. Nini kinachangia ongezeko hili?
Fuatilia #Clouds360 live kupitia | Azam channel no 403| Dstv no 387| Startimes no 109| antenna/497 na YouTube ya CloudsMedia #LiveOnClouds360 #Clouds26Nyoosha