#HABARI: Matukio ya kukutwa miili ya Maafisa usafirishaji wa Pikipiki mkoani Tabora, ikiwa imetelekezwa katika maeneo tofauti tofauti yameendelea kutokea, baada ya mwili mwingine uliofungwa kamba kwenye mikono na miguu, kukutwa katika maeneo ya Makaburi ya Miemba Kata ya Malolo Manispaa ya Tabora.

Matukio yote yametokea ndani ya Wilaya ya Tabora, ambapo katika kipindi kuanzia Disemba 26, 2025 mwili wa mwendesha Pikipiki ulikutwa kwenye mtaro Kata ya Malolo, mwili mwingine ulikutwa kwenye msitu wa Matitumbi ukiwa umefungwa kamba kwenye miguu na mikono.

Powered by #MCHEZOSUPA

‎JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
‎-
‎Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

‎#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
‎Follow @itvtz @radioonetanzania
‎@capitaldigitaltanzania
@apologize_kiity

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *