Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Maji, imekutana na Serikali ya Korea kupitia ubalozi wake hapa nchini, ili kutafuta ufumbuzi wa uhaba wa maji katika jiji la Dar es Salaam, kwa kuyaleta maji ya mto Rufiji, katika jiji hilo.