Washington yakataa kuwapa viza maafisa wa Palestina kabla ya Mkutano Mkuu wa UN
Washington imekataa siku ya Ijumaa, Agosti 29, kutoa viza kwa wajumbe wa ujumbe wa Palestina uliopangwa kuhudhuria Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa mwezi Septemba. Mkutano ambao Ufaransa inatarajiwa kutetea…