Sebina: TikToker Mashuhuri wa Uganda Afariki Dunia, Dadake Asimulia Kuhusu Nyakati Zake za Mwisho
Jumuiya ya mtandao ya Afrika Mashariki inaomboleza msiba wa TikToker maarufu Musaazi Charles Kalooli, almaarufu Sebina, aliyefariki kwa msiba nyumbani Juni 6.