Magazeti ya Kenya: Jinsi Afisa Mkuu Nairobi Patrick Analo alivyojilimbikizia KSh 65M na EACC kumnasa
Magazeti ya Kenya siku ya Ijumaa, Juni 6, yaliangazia maendeleo katika kesi ya urejeshaji utajiri inayomhusisha afisa mkuu wa kaunti ya Nairobi, Patrick Analo.