Upendo Usio na Mipaka: Mzungu Alipa Mahari Kupitia WhatsApp, Kijiji Kizima Chetetema kwa Msisimko
Preet alishiriki kwa furaha sherehe yake ya jadi ya mahari, ambayo ilifanyika bila mshirika wake wa Ubelgiji. Umbali haukuweza kuzima upendo na muungano wao.