Familia yazungumzia hali ya mwanaume ambaye mkewe alifariki akienda Utumishi Girls kumuona binti yao
Faith Koskei alifariki katika ajali ya barabarani akielekea Utumishi Girls Academy. Familia yake ilishiriki huzuni yao na kutaka haki itendeke kufuatia moto huo.