#MEZAHURU: Nini kifanyike kuzuia watu kujichukulia sheria mkononi wanapokamata mwizi au mhalifu yeyote?
#MEZAHURU: Nini kifanyike kuzuia watu kujichukulia sheria mkononi wanapokamata mwizi au mhalifu yeyote?
#MEZAHURU: Nini kifanyike kuzuia watu kujichukulia sheria mkononi wanapokamata mwizi au mhalifu yeyote?
Mgombea ubunge wa Jimbo la Kigoma Kusini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nuru Kashakali, amewahakikishia wananchi wa kata ya Itebula kuwa atahakikisha changamoto ya kituo cha afya na uhaba wa…
🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55, OKTOBA 20, 2025
Hivi karibuni hatua ya makundi ya mashindano ya kuwania kufuzu Fainali za Kombe la Dunia 2026...
Ushindi wa mabao 2-0 ambao Azam FC iliupata, unaifanya ihitaji matokeo angalau ya sare ili...
Mazingira yalimtisha na kuamini jamaa yake hakuwa tena mtu wa kawaida kama ambavyo alivyokuwa akimfahamu walipokuwa wakiishi pamoja Tanzania. Hivyo, Muddy hakutaka kumwambia ukweli alikozipata pesa zilizomfanya kufunga safari hadi…
#HABARI: Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Bwana Tundu Antipas Lissu inaendelea leo Oktoba 20, 2025 katika Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya…
Bodi ya Wakurugenzi ya Yanga chini ya Rais, Hersi Said imeanza haraka mchakato wa kumsaka Kocha...
Saa nne usiku Muddy alifanikiwa kuvuka mpaka wa Tanzania na kuingia upande wa Kenya baada ya kufanya mahojiano mafupi na maofisa wa uhamiaji na kugongewa muhuri kwenye hati yake ya…
Ijumaa ya Oktoba 11 mwaka huu jijini London kulikuwa na mechi ya soka ya wakongwe wa Chelsea...
#HappyDiwali2025 @officialbakhresagroup
NAIROBI – Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu, Amnesty International, limeeleza wasiwasi wake kuhusu kile linachotaja kuwa “wimbi la hofu na ukandamizaji” nchini Tanzania, wiki chache kabla ya…
Hujambo msikilizaji mpenzi, nina wingi wa matumaini kwamba u mzima wa afya. Karibu tuangazie japo kwa ufupi, baadhi ya matukio makubwa yaliyojiri viwanjani katika muda wa siku zilizopita, kitaifa, kieneo…
Kuna ‘thank you’ nne zimetembea pale Yanga kwa makocha wake ndani ya kipindi cha takribani siku...
🔴HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55, OKTOBA 20, 2025
Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) limesema kuwa limejiandaa kikamilifu kukuza ushirikiano wa kimkakati na vikosi vya ulinzi vya Yemen katika mapambano dhidi ya mabeberu wa…
Esmail Baqaei Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani vikali kitendo cha utawala wa Kizayuni wa Israel cha kumtesa mwanaharakti wa haki za binadamu aliyedhihirisha mshikamano na…
Shirika la Afya Duniani (WHO) jana liliripoti kuwa mgonjwa wa mwisho wa Ebola aliruhusiwa jana kutoka kwenye kituo cha matibabu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu amesema endapo atapewa ridhaa ya kuwa Rais, atahakikisha anasimamisha huduma za mikopo umiza maarufu kama "Kausha damu"…
Idara ya Huduma ya Siri ya Marekani imethibitisha kuwa imegundua jukwaa linalotiliwa shaka la kufyatulia risasi karibu na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Palm Beach likiwa na uwezo wa…
#HABARI: Mgombea ubunge Jimbo la Kibamba kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Anjellah Kairuki ameendelea na kampeni zake katika Kata ya Msigani na kubainisha vipaumbele vyake kumi ikiwemo kusimamia suala la…
Idara ya Vyombo vya Habari ya Serikali katika Ukanda wa Gaza imesema ukiukaji wa Israeli wa mapatano ya kusitisha vita unaakisi hamu ya utawaka huo vamizi ya kuzidisha machafuko na…
Rais wa Marekani, Donald Trump amemshutumu Rais wa Colombia Gustavo Petro kwa kuhusika katika kuongezeka biashara ya dawa za kulevya, na kutishia kuingilia moja kwa moja Marekani nchini Colombia.
Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha NCCR Mageuzi, Haji Ambar Khamis amesema akipewa ridhaa ya kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jukumu lake la kwanza ni kuhakikisha…
Katika kesi hiyo Lissu anakabiliwa na shtaka la uhaini akidaiwa kutoa maneno ya kuitishia...
Mgombea Urais Chama Cha Wakulima (AAFP), Kunje Ngombale Mwiru, amesema endapo atapewa ridhaa ya kuwa Rais wa Tanzania atahakikisha anapambana dhidi ya ufisadi hatua ambayo itasaidia kuleta maendeleo kwa wananchi.…
Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha National Reconstruction Alliance (NRA), Hassan Kisabya Almas, ameahidi kuwafutia kodi wafanyabiashara wenye mtaji chini ya milioni 20 na kuwezesha mfumo mmoja unaosomana na…
Uturuki ilieleza kuunga mkono kwa dhati usitishaji vita uliofikiwa mjini Doha kati ya Kabul na Islamabad na kuipongeza Qatar kwa kuwezesha mazungumzo hayo.
🔴KUMEKUCHA KISHINDO: UANDAAJI WA FILAMU.....OKTOBA 20, 2025
Erhurman aliahidi kwamba hakuna maamuzi ya sera ya kigeni kuhusu TRNC yangefanywa bila kushauriana kwanza na Uturuki.
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55, OKTOBA 20, 2025
Yassir Zabiri afunga mara mbili huku Atlas Cubs ikitwaa ushindi wa kihistoria wa 2-0 nchini Chile
Israel ilifanya mashambulizi makali huko Gaza, ikidai kuwa ni kujibu mashambulizi ya Hamas, huku usitishaji vita uliodumu kwa siku tisa katika eneo la Wapalestina ukiwa katika hali ngumu.
Katika video iliyochapishwa kwenye mitandao ya kijamii, wafanyakazi wa afya walionekana wakisherehekea wakati mgonjwa wa mwisho alipotoka kituo cha matibabu.
🔴KUMEKUCHA MICHEZO: | OKTOBA 20, 2025
Mchezaji wa zamani wa Liverpool, Jamie Carragher, amemwambia kocha wa sasa Arne Slot kwamba...
Mapitio ya #MAGAZETI leo Oktoba 20,2025 kwenye #MorningTrumpet #UTV108 #AzamTVUpdates
Baada ya kuhesabu zaidi ya asilimia 97 ya kura, mgombea urais wa Bolivia wa mrengo wa kati-kulia ameshinda duru ya pili ya uchaguzi uliyofanyika siku ya Jumapili, Oktoba 19. Rodrigo…
#HABARI: Watu wawili wafanyakazi wa Uwanja wa Ndege wamefariki dunia wakati wakipatiwa matibabu hospitalini baada ya ndege ya mizigo kuteleza kwenye njia ya kurukia ya Uwanja wa Ndege wa Hong…
Kiongozi wa chama cha upinzani cha Ensemble pour la République, Moïse Katumbi, anathibitisha kujitolea kwake kwa mazungumzo jumuishi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Ametoa ujumbe huu katika taarifa iliyochapishwa…
#SwaliLaKipimaJoto:Siku kumi kabla ya Uchaguzi Mkuu.Je, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi iweke hadharani muonekano wa karatasi za kupigia kura utakavyokuwa
🔴KUMEKUCHA:TUZO ZA UTALII DUNIANI..OKTOBA 20, 2025
Mgonjwa wa mwisho wa Ebola aliyelazwa katika kituo cha matibabu cha Bulape katika Mkoa wa Kasai, nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ametangazwa kuwa amepona na kuruhusiwa kuondoka kituoni hapo…
🔴#MAGAZETI: KAULI ZA AMANI , UKWELI ZATIKISA / NABI ATIA MKONO KOCHA MPYA YANGA ....OKTOBA 20, 2025
Ripoti rasmi zinasema, mashambulizi ya utawala ghasibu wa Israel yameharibu asilimia 97 ya shule za Ukanda wa Gaza na hivyo kuhatarisha mustakbali wa kielimu wa wanafunzi laki tatu wa Kipalestina.
Israel imetangaza Jumapili kusitisha mashambulizi yake ya anga katika Ukanda wa Gaza ambayo kulingana na mamlaka za afya yamesababisha vifo vya watu 45.
Waasi wa Kihouthi wanaoungwa mkono na Iran wanawashikilia wafanyakazi wapatao 20 wa Umoja wa Mataifa, baada ya kuvamia kituo kingine cha taasisi hiyo ya kimataifa katika mji mkuu wa Yemen…
Marekani imetangaza siku ya Jumapili kusitisha ufadhili wake kwa Colombia ikitaja kuwa rais wa nchi hiyo Gustavo Petro hachukui hatua za kukabiliana na shughuli za madawa ya kulevya.
Kundi la majambazi wanne limefanikiwa siku ya Jumapili kuiba vito vya thamani isiyokadiriwa katika Jumba la Makumbusho Le Louvre jijini Paris, Ufaransa.
Serikali ya Kenya imetangaza kuwa Siku ya Mashujaa itaadhimishwa leo kama kawaida licha ya hofu iliyokuwepo kwamba ingeahirishwa baada ya kifo cha waziri mkuu wa zamani wa nchi hiyo, Raila…