Safari inayotia shaka ya ndege kutoka Ghaza, ni mwanzo wa awamu mpya ya kuwahamisha kwa nguvu Wapalestina
Zaidi ya Wapalestina 150 wakazi wa Ukanda wa Ghaza wamehamishwa kwa ndege kutoka eneo hilo la Palestina na kupelekwa Afrika Kusini kwa namna inayotia shaka, huku mamlaka za Afrika Kusini…