16.12.2025 Matangazo ya Mchana
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, waasi wa AFC/M23 wamesema wako tayari kuondoka kutoka mji wa Uvira / Sudan kwa mara nyingine tena imeongoza orodha…
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, waasi wa AFC/M23 wamesema wako tayari kuondoka kutoka mji wa Uvira / Sudan kwa mara nyingine tena imeongoza orodha…
Kundi la waasi la M23 linasema limewakamata mamia ya wanajeshi wa Burundi wakati wa mashambulio ya hivi karibuni mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, madai ambayo Reuters hayakuweza kuthibitisha.
Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon siku ya Jumatatu alitoa wito wa kufanyika mabadiliko ya Baraza la Usalaml, akionya kuwa shirika hilo liko hatarini "kupoteza umuhimu wake"…
Bunge la Zambia siku ya Jumatatu limeidhinisha kwa kishindo muswada wa kubadilisha vipengele vya katiba vinavyohusiana na uchaguzi ambao upinzani utamsaidia Rais Hakainde Hichilema kwa uchaguzi wa mwakani.
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky na wajumbe wa rais wa Marekani Donald Trump wameendelea na mazungumzo mjini Berlin Ujerumani yanayolenga kumaliza vita na Urusi.
Kongamano la Mkutano wa 23 la Doha liliangazia malengo ya Afrika kutumia kilimo kwa ajili kuleta utajiri zaidi na siyo you kuondoa watu kutoka kwenye umaskini.
Kongamano la Mkutano wa 23 la Doha liliangazia malengo ya Afrika kutumia kilimo kwa ajili kuleta utajiri zaidi na siyo you kuondoa watu kutoka kwenye umaskini.
Wajumbe wa Marekani wamekutana na wenzao wa Ulaya katika mji mkuu wa Ujerumani - Berlin siku ya Jumatatu kuujadili mpango wa amani unaolenga kuvimaliza vita vya Urusi nchini Ukraine.
Msemaji wa AFC/M23 Lawrence Kanyuka amewataka wakongomani kurejea nyumbani akitaja kuwa kwa sasa hali ya usalama ni shwari.
Takriban watu 37 wamefariki dunia kutokana na mafuriko yaliosababishwa na mvua inayoendelea kunyesha mkoani Safi nchini Morocco huku wengine 14 wakiendelea kupata matibabu na wawili wakiwa mahututi.
Bara la Afrika limepitia misukosuko katika siku za hivi karibuni kama mapinduzi nchini Madagascar na Guinea-Bissau na jaribio la mapinduzi Benin. Je ni kwa nini hali kama hii imejitokeza mara…
Athari za maamuzi aliyofanya rais wa Marekani Donald Trump kufutilia mbali misaada ya chakula zinadhihirika miongoni mwa jamii za wafugaji wa kuhamahama za Turkana Kaskazini mwa Kenya.
Mamlaka katika mji wa kinshasa nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, imepiga marufuku maandamano yoyote kutoka kwa upinzani na hata vyama tawala kutokana na itifaki za usalama.
Wakati michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika ikisubiriwa kwa shauku kubwa miongoni mwa mashabiki, wengi wanatarajia kuwaona wachezaji nyota wanaocheza katika ligi mbalimbali ulimwenguni wakiwakilisha timu zao za taifa.
Asasi za kiraia, wadadisi wa masuala ya utawala wanasiasa na watu mbali mbali wamekosoa uhusika wa moja kwa moja wa wanajeshi katika uchaguzi nchini Uganda.
Uturuki imewasilisha hoja bungeni kutaka kuongezwa muda wa miezi 24 kwa wanajeshi wake Libya, ikitaja hali ya sintofahamu ya kisiasa inayoendelea, changamoto za kiusalama ambazo hazijatatuliwa na umuhimu wa kulinda…

Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, siku chache baada ya kuuteka mji wa kimkakati wa Uvira, AFC/M23 inatowa wito kwa askari wote wa Burundi ambao bado wako kwenye ardhi ya…
Ankara inasisitiza kuunga mkono juhudi za kutafuta suluhu la amani kwa migogoro inayoendelea nchini Sudan.
Ankara inasisitiza kuunga mkono juhudi za kutafuta suluhu la amani kwa migogoro inayoendelea nchini Sudan.
Mahakama ya Hong Kong imempata na hatia tajiri anayeunga mkono demokrasia Jimmy Lai, katika kesi ya historia ya Usalama wa Taifa, hatua inayoweza kumfanya akuhumiwe kifungo cha maisha jela.
Nahodha wa Bayern Munich, Manuel Neuer, atakosa michezo yote iliyosalia mwaka huu baada ya kuumia msuli wa nyuma ya paja la kulia.
Kupitia shauri hilo, wanaharakati uzimwaji wa intaneti nchini Tanzania ulikuwa na athari kwenye uchumi, jamii na haki za kiraia.
Kupitia shauri hilo, wanaharakati uzimwaji wa intaneti nchini Tanzania ulikuwa na athari kwenye uchumi, jamii na haki za kiraia.
Ushauri wa Waziri Mkuu huyo wa Tanzania unakuja wakati maeneo tofauti ya nchi hiyo yakishuhudia kuchelewa kwa mvua.
Ushauri wa Waziri Mkuu huyo wa Tanzania unakuja wakati maeneo tofauti ya nchi hiyo yakishuhudia kuchelewa kwa mvua.
Watu zaidi ya 500 raia wa Burundi waliokuwa wamekwama katika mji wa Uvira mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kutokana na mapigano kati ya waasi wa M23 na jeshi…
Jumuiya ya Maendeleo ya Kiuchumi ya Afrika Magharibi ECOWAS yasema mpangilio wa demokrasia unajaribiwa na itawawekea vikwazo wahusika.
Mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel Narges Mohammadi amepelekwa katika chumba cha wagonjwa mahututi mara mbili wiki hii, baada ya kudaiwa kupigwa na maafisa wa usalama walipokuwa wanamkamata Iran.
Viongozi nchini Australia wamekubaliana leo kuweka sheria kali zaidi kuhusu umiliki wa bunduki baada ya kushuhudiwa kwa shambulio baya zaidi la ufyatuaji risasi nchini humo katika kipindi cha takriban miongo…
Kauli hiyo ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa inakuja siku chache, baada ya kadhaa za magharibi ikiwemo Marekani, kusema kwamba inatathmini upya uhusiano wake na Tanzania.
Kauli hiyo ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa inakuja siku chache, baada ya kadhaa za magharibi ikiwemo Marekani, kusema kwamba inatathmini upya uhusiano wake na Tanzania.
Morocco inakumbwa na mvua kubwa na theluji katika Milima ya Atlas, kufuatia miaka saba ya ukame ambao ulidhuru baadhi ya hifadhi zake kuu.
Morocco inakumbwa na mvua kubwa na theluji katika Milima ya Atlas, kufuatia miaka saba ya ukame ambao ulidhuru baadhi ya hifadhi zake kuu.
Waandamanaji waliobeba mabango na kuimba kaulimbiu za amani walisema sauti ya Afrika lazima isikike kwa nguvu zaidi katika juhudi za kumaliza vita vinavyochochewa na mapambano ya kudhibiti rasilimali za asili.

"Tutaendelea na njia yetu kwa dhamira katika kipindi kijacho. Hakutakuwa na kurudi nyuma," Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan anasema.
"Tutaendelea na njia yetu kwa dhamira katika kipindi kijacho. Hakutakuwa na kurudi nyuma," Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan anasema.
Maafisa wa jeshi nchini Guinea-Bissau, wanaojiita Kamandi Kuu ya Kijeshi, walimpindua Rais Umaro Sissoco Embalo mnamo Novemba 26 na kumteua Meja-Jenerali Horta Inta-A kama rais wa mpito siku iliyofuata.

Ujumbe wa Marekani kwenye mazungumzo ya kusaka usitishwaji mapigano kati ya Urusi na Ukraine yanayofanyika mjini Berlin umeelezea kuridhishwa kwake na hatua zilizopigwa hadi sasa.
Zaidi ya watoto 100,000 wameyakimbia makazi yao kutokana na ongezeko la hivi punde mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, UNICEF ilisema Jumapili.
Zaidi ya watoto 100,000 wameyakimbia makazi yao kutokana na ongezeko la hivi punde mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, UNICEF ilisema Jumapili.
Luka Mathen Toupini Luk, mbunge wa upinzani nchini Sudan Kusini, ameuawa kwa kupigwa risasi nyumbani kwake katika mji mkuu wa nchi hiyo, Juba.
Luka Mathen Toupini Luk, mbunge wa upinzani nchini Sudan Kusini, ameuawa kwa kupigwa risasi nyumbani kwake katika mji mkuu wa nchi hiyo, Juba.
Takriban watu 12 wameuawa na wengine 29 kujeruhiwa katika tukio la ufyatuaji risasi kwenye ufukwe wa Bondi huko Sydney.
Takriban watu 12 wameuawa na wengine 29 kujeruhiwa katika tukio la ufyatuaji risasi kwenye ufukwe wa Bondi huko Sydney.
Shambulio la ndege zisizo na rubani siku ya Jumapili kwenye hospitali ya jeshi katika mji uliozingirwa kusini mwa Sudan wa Dilling ulisababisha "raia saba kuuawa na 12 kujeruhiwa," mfanyakazi wa…
Wakazi wa mikoa ya Dar es salaam na Pwani nchini Tanzania bado wanaendelea kushuhudia adha kubwa ya ukosefu wa huduma ya maji +++Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky na wajumbe wa…
DW tayari ilikuwa imetajwa kuwa “wakala wa kigeni” huku Kremlin ikiendelea kukandamiza sauti za vyombo vya habari vinavyoikosoa.