Kampeni zinaanza nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati kabla ya uchaguzi mkuu
Kwa hesabu za kura za mamlaka ya uchaguzi, takriban wapiga kura milioni 2.3 wanatarajiwa kwenye sanduku la kura tarehe 28 Desemba.
Kwa hesabu za kura za mamlaka ya uchaguzi, takriban wapiga kura milioni 2.3 wanatarajiwa kwenye sanduku la kura tarehe 28 Desemba.
Antonio Guterres anasema mashambulizi dhidi ya walinda amani wa Umoja wa Mataifa hayana uhalali na anasisitiza wajibu wa kuwalinda wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa, huku kiongozi wa mpito wa Bangladesh…
Bangladesh ni miongoni mwa nchi zinazotoa mchango mkubwa zaidi katika ujumbe wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa na wanajeshi wake wametumwa kwa muda mrefu nchini Sudan.
Makumbusho ya Red Castle, kubwa zaidi nchini Libya, yalifungwa mwaka 2011 wakati wa uasi ulioungwa mkono na NATO dhidi ya Muammar Gaddafi.
Kila mwaka,kongamano la mabadiliko ya tabia nchi la Umoja wa Mataifa hugonga vichwa vya habari kote duniani sambamba na harakati za kuinusuru sayari ya dunia na athari hizo.
Rais wa Ujerumani Frank Walter Steinmeier amevitolea wito vyama vinavyofuata siasa za mrengo wa kushoto kuwajibika zaidi katika kupambana na itikadi kali za mrengo wa kulia.
Shirika la Msalaba Mwekundu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo linasema kuwa hali ya ghasia inayoendelea katika jimbo la Ituri kaskazini mwa nchi inachangia kuendelea kuzorora kwa huduma za kijamii.
Rais wa zamani wa Ufaransa Nicolas Sarkozy ameondoka katika jela na sasa atatumikia kifungo chake cha miaka mitano chini ya uangalizi wa mahakama.
Rais Donald Trump amewasamehea wapambe wake walioshutumiwa kushiriki jaribio la kubatilisha ushindi wa uchaguzi wa 2020.
Askofu, Ruwa'ichi amesema nchi imejeruhiwa na watu waliuawa kiholela kwa sababu ya kuandamana ilhali adhabu ya kuandamana sio kifo cha risasi.
Siku Chache baada ya Uchaguzi wa Oktoba 29 uliogubikwa na vurugu nchini Tanzania, Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, limefanya misa Takatifu ya kuombea waliofariki wakati wa uchaguzi…
Aimé Manga ni Daktari bingwa wa magonjwa ya wanawake, anayewahudumia wanawake waliobakwa katika vita huko Goma, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Ujerumani Deniz Undav aliisaidia timu yake ya VfB Stuttgart kujiimarisha katika nafasi ya nne kwenye msimamo wa Bundesliga kwa kufunga mabao mawili dhidi ya…
Madhara ya mabadiliko ya tabia nchi tayari yamesababisha mamilioni ya watu ulimwenguni kote kuyahama makaazi yao.
Afisa mwandamizi wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) amesema nchi yake haipangi kujiunga na kikosi cha kimataifa cha kuleta utulivu Gaza, kutokana na ukosefu wa muundo wa wazi wa…
Rais wa mpito wa Syria Ahmed al-Sharaa, anatarajiwa kukutana na rais wa Marekani Donald Trump leo katika ikulu ya White House.
Mamlaka nchini Ukraine zimesema mamilioni ya watu nchini humo, wameathiriwa Jumatatu kwa kukosa umeme.
Wafungwa hao waligunduliwa wamekufa kwa kukosa hewa kwa sababu ya hali inayoashiria kujinyonga au kunyongwa.
Rais wa Uturuki, viongozi wa vyama vya siasa, maafisa waandamizi wa mahakama, maafisa wa jeshi, watumishi wengine wa serikali walikusanyika Anitkabir jijini Ankara kumkumbuka Mustafa Kemal Ataturk, muasisi na rais…
Rais wa mpito wa Syria Ahmad al-Sharaa yuko ziarani Marekani ambako anatazamiwa kukutana na kufanya mazungumzo na Rais Donald Trump Jumatatu 10.11.2025 katka ikulu ya Whitehouse.
Jeshi la Sudan lilizima shambulio la Wanajeshi wa Msaada wa Haraka (RSF) siku ya Jumapili kwenye mji wa Babnousa huko Kordofan Magharibi, walioshuhudia walisema.
Kikosi cha Wanajeshi wa Kitaifa wa Somalia kimefanya msururu wa operesheni katika maeneo ya Bakool na Bay, na kuwaua maafisa kadhaa waandamizi wa kundi la kigaidi la Al Shabab.
Fidan itafanya mikutano kujadili masuala ya pande mbili na kikanda.
Washiriki wapatao 50,000 kutoka mataifa zaidi ya 190 wanaanza mkutano wa kilele wa mabadiliko ya tabianchi nchini Brazil, huku Umoja wa Mataifa ukisema mamilioni ya wakimbizi wapo kwenye hali mbaya.
Mfumo wa ushirikiano wa kiuchumi wa kikanda (REIF) "unaelezea maeneo muhimu ya kukuza ushirikiano wa kiuchumi na maendeleo kati ya mataifa hayo mawili, kuonyesha manufaa yanayoonekana ya amani," nchi hizo…
Viongozi wa Amerika ya Kusini na Ulaya wanatarajiwa kufikia makubaliano ya kuanzisha ushirikiano wa kupambana na ulanguzi wa madawa ya kulevya, uhalifu wa kupangwa na ufisadi.
Maseneta nchini Marekani wamefikia makubaliano ya kurejesha ufadhili kwa serikali kuu na kukomesha hatua ya ufungwaji wa shughuli ulioingia siku yake ya 40 na kulazimisha operesheni nyingi za serikali kusimamishwa.
Uturuki inasema inapigania kuwaondosha raia wapatao 200 walionasa kwenye mahandaki katika Ukanda wa Gaza, baada ya kufanikisha kurejeshwa kwa mwili wa mwanajeshi wa Israel aliyeuawa zaidi ya muongo mmoja uliopita.
Katibu wa Baraza la Usalama la Urusi, Sergei Shoigu, amewasili nchini Misri akiongoza ujumbe mkubwa wa maafisa wa kijeshi na wataalamu wa silaha za nyuklia kwa ajili ya mazungumzo na…
Umoja wa Mataifa umesema mamilioni ya wakimbizi wamekwama kwenye mduara wa papo kwa papo wa migogoro na majanga makubwa ya kimazingira.
Hekaheka za kumchagua Spika wa bunge la 13 zinaendelea huko Dodoma// Umoja wa Afrika umetoa wito wa kuchukuliwa hatua haraka ili kushughulikia hali mbaya ya kiusalama nchini Mali7/ Rais wa…
Idadi ya waliouawa Ukanda wa Gaza yafikia zaidi ya watu 69,000. Mashambulizi ya Ukraine yawakosesha umeme zaidi ya watu 20,000 Urusi. Uganda yawaachilia huru wanaharakati wawili wa Kenya.
Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, limefanya misa Takatifu ya Kuombea waliofariki wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Tanzania// Wanaharakati nchini Kenya wametoa wito kwa serikali ya taifa hilo…
Wiki iliyopita Waendesha mashitaka Tanzania waliwafungulia kesi ya Uhaini takriban watu 240, kufuatia maandamano ya vurugu yaliyotokea wakati wa uchaguzi huku taifa hilo likipitia hali ya mashaka ya kisiasa kutokana…
Mabingwa wa Bavaria Bayern Munich walizuiwa sare na Union Berlin katika pambano la kukata na shoka ambalo lilikaribia kukamilika kwa ushindi wa Union mpaka pale Harry Kane aliposawazisha dakika za…
Katika matangazo yetu ya asubuhi hivi leo utasikia makala zetu za Makala yetu Leo, Mtu na Mazingira, Vijana Tugutuke na Jukwaa la manufaa. Sikiliza ya Dunia Yetu Leo Asubuhi kutoka…
Mashambulizi ya Ukraine dhidi ya Urusi usiku wa kuamkia Jumapili, yamesababisha kukatika kwa umeme katika miji mikubwa miwili mpakani mwa nchi hizo. Mamlaka za Urusi zimesema takriban watu 20,000 hawana…
Rais wa Ujerumani Frank-Walter Steinmeier ameonya kuwa ongezeko la itikadi kali za mrengo wa kulia na ubaguzi dhidi ya Wayahudi vinazidi kutishia kwa kiasi kikubwa demokrasia nchini humo.
Idadi ya Wapalestina waliouawa katika vita vya Israel na Hamas kwenye Ukanda wa Gaza sasa imefikia zaidi ya watu 69,000, kulingana na takwimu zilizotolewa na mamlaka za ukanda huo.
Uganda imewaachilia huru wanaharakati wawili wa Kenya baada ya Rais Yoweri Museveni kudai walikuwa wakishirikiana na wanasiasa wa upinzani kumwondoa madarakani katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Januari mwakani.
Wanaharakati wawili wa Kenya wameachiliwa huru baada ya kutoweka nchini Uganda ambako walikuwa wakihudhuria hafla ya upinzani wa kisiasa.
Madaktari wa eneo hilo waliripoti Jumapili kwamba Vikosi vya Msaada wa Haraka vya kijeshi huko Al Fasher, magharibi mwa Sudan, wamezika mamia ya raia kwenye makaburi ya halaiki na kuwachoma…
Rais Erdogan alisema mazungumzo yake na Rais Trump kuhusu mkataba wa F-35 yalikuwa mazuri, yakionyesha dalili za maendeleo, na kuitaka Marekani kutekeleza ahadi zake.
Madai ya Trump ya "mauaji ya Wakristo" nchini Nigeria yanageuza mgogoro mgumu, unaosukumwa na rasilimali, na kuhatarisha ushirikiano muhimu wa kupambana na ugaidi, na kuonyesha diplomasia ya biashara ya utawala…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi Sergei Lavrov amesema yuko tayari kukutana kwa majadiliano na mwenzake, Waziri wa Mambo ya Kigeni wa Marekani Marco Rubio kuhusu kutafuta suluhisho la…
Rais wa mpito wa Syria Ahmed al-Sharaa amewasili Marekani anakotarajiwa kukutana kwa mazungumzo na Rais Donald Trump Jumatatu. Amefika nchini humo Jumamosi siku moja baada ya Marekani kumuondoa kwenye orodha…
Karibu watu milioni moja wamehamishwa kutoka kwenye makazi yao kutokana na mafuriko yanayoendelea kuongezeka nchini Ufilipino kabla ya kimbunga kingine kinachotarajiwa kulipiga taifa hilo.
Maelfu ya raia wamelazimika kuyakimbilia makambi ya wakimbizi yaliyofurika ili kukwepa ukatili wa wanamgambo wa RSF tangu walipoutwaa mji wa El Fasher ulioko Darfur huko nchini Sudan.
Ujerumani inaadhimisha miaka 36 tangu kuanguka kwa Ukuta wa Berlin. Tukio hilo lilihitimisha enzi ya utengano na kufungua njia ya kuungana tena kwa iliyokuwa Ujerumani Magharibi na Mashariki.
Li Fung, Mwakilishi wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan, anasema Al Fasher imekuwa mji wa huzuni kwani Kikosi cha RSF kinaendelea na mashambulizi yake ya kinyama.