Bite Gang itabadilisha kitu kwa Lava Lava
Staa wa Bongofleva, Lava Lava kwa mara ya kwanza anauanza mwaka akiwa msanii huru...
Mtoto afa kwa kutumbukia shimoni
Mtoto wa miaka mitatu na nusu aitwaye Yasini Sadiki, mkazi wa Kitongoji cha Itetemia, Kata ya...
Wananchi washauriwa kufanya uchunguzi wa afya zao
Naibu Waziri wa Afya, Dk Florence Samizi ametoa wito kwa wananchi kuwa na tabia ya kufanya...
Ndugu wa mke waliotaka kumdhulumu shemeji nyumba wafukuzwa
Wananchi wa Mtaa wa Mashariki, Kata ya Muriet iliyopo Halmashauri ya Jiji la Arusha...
‘Nitakuwa tayari kutumia rasimali zangu kukarabati barabara’
Diwani wa kata ya Ruanda jijini Mbeya, Isack Mwakubombaki amesema uongozi wake utakuwa wa...
Watoto wawili wa familia moja walivyokufa maji
Vilio na majonzi vimetanda katika familia ya Joachim Laizer, iliyopoteza watoto wawili kwa...
Utenguzi wa Simbachawene wageuka gumzo
Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George...
Mama mdogo adaiwa kumjeruhi mwanaye kisa koti
Jeshi la Polisi Mkoani Kilimanjaro, linamshikilia mwanamke mmoja, mkazi wa kiijiji cha Ongoma...
UCHAMBUZI WA MJEMA: Simbachawene alivyoshika na kuuishi wosia wa Mzee Mwinyi
Rais mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Pili (1985-1995), Ali Hassan Mwinyi aliwahi kusema maisha...
Samia ahimiza uwekezaji hoteli za kitalii
Rais Samia Suluhu Hassan amehimiza kufanya uwekezaji mkubwa katika hoteli za kitalii kwa lengo...
Majadiliano yatakavyounda mwelekeo wa kitaifa viwanda vya afya
Kwa zaidi ya mwongo mmoja, mijadala katika Mkutano wa Afya Tanzania (Tanzania Health Summit –...
Wafanyakazi wa shamba la maua wagoma, kisa masilahi
Mamia ya wafanyakazi wa shamba la maua la Vaso Agro-ventures Ltd, lililopo Kibosho, Wilaya ya...
Matumizi ya pombe yapaa mihadarati ikipungua mtaani
Tanzania imefanikiwa kwa kiwango kikubwa kudhibiti biashara na matumizi ya dawa za kulevya...
DK Nchimbi: Maendeleo ya elimu Zanzibar ni tunda la Mapinduzi
Makamu wa Rais, Dk Emmanuel Nchimbi amesema malengo makuu ya Mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka...
Dk Migiro awatwisha zigo la imani viongozi CCM, Serikali
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Asha-Rose Migiro amewataka viongozi waliopewa...
Wasiorejesha mikopo ya asilimia 10 kukamatwa
Mkuu wa Wilaya ya Maswa, Dk Vicent Anney ameagiza kukamatwa na kufikishwa mahakamani watu wote...
Mabasi mapya 49 ya Udart kuingizwa barabarani
Mabasi 49 ya usafiri wa haraka maarufu mwendokasi yaliyoingia nchini yameanza kupakuliwa...
Serikali yaongeza muda wa usajili taasisi zinazohifadhi taarifa binafsi
Serikali imetangaza kipindi cha nyongeza cha miezi mitatu kwa taasisi za umma na binafsi...
Rose Mhando, Upendo Nkone kukiwasha tamasha la PDX Kigamboni
Waimbaji maarufu wa muziki wa Injili nchini, Rose Mhando na Upendo Nkone, ni kati ya wasanii...
Aga Khan yaanzisha mfumo wa kisasa wa utunzaji taarifa za wagonjwa
Huduma ya Afya ya Aga Khan Tanzania (AKHS, T) imepiga hatua katika safari yake ya mageuzi ya...
Anayedaiwa kujipatia fedha za ‘kijiko’ kuendelea kusota rumande
Mfanyabiashara na raia wa India, Dharmendra Gaikwad (49) anayekabiliwa na mashtaka ya kujipatia...
Vijana waongoza uwekezaji mpya DSE
Kama ambavyo rika hilo limeshika hatamu katika kila kona, Soko la hisa la Dar es Salaam (DSE)...
Kaya 400 zaathiriwa na mafuriko Momba, wananchi wakimbia makazi
Wananchi wa Kijiji cha Ntinga, wilayani Momba mkoani Songwe, wamelazimika kuyakimbia makazi yao...
RC Mhita akerwa kusuasua miradi ya Tactics
Wakazi wa Kata za Ndala, Masekelo, Mwawaza na Mjini katika Manispaa ya Shinyanga wamelalamikia...
Siku ya heshima Mapinduzi
Watu wanajiuliza itakuwaje mechi ya Yanga dhidi ya Singida Black Stars leo Ijumaa katika nusu...
Babu wa miaka 79 kortini akidaiwa kughushi nyaraka
Mfanyabiashara na mkazi wa Ocean Road jijini Dar es Salaam, Sajjad Dawoodbhai (79) amefikishwa...
Undani wa Mboladinga shabiki wa Congo aliyetikisa AFCON 2025
Hatuzungumzi soka tunagusa sanaa na kipaji cha upekee cha Michel Kuka Mboladinga, maarufu kama...
‘Cloud Dancer’ rangi ya mwaka 2026
Kila mwaka unaopofika ukingoni mamlaka ya kimataifa ya rangi - Pantone huchagua rangi ya mwaka...
Serikali ya Venezuela yawaachia huru wanasiasa wa upinzani, waandishi
Serikali ya Venezuela imewaachia huru viongozi mashuhuri wa upinzani waliokuwa wamefungwa...
Serikali kuongeza eneo la malisho ya mifugo
Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa kushirikiana na Wizara ya Ardhi inaongeza maeneo maalumu ya...
Polisi yawanasa wanne tuhuma za uporaji wakiwa na jeneza Mabwepande
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu Dar es Salaam limewakamata watu wanne wanaoendelea kuhojiwa kwa...
Kula vyakula hivi unukie vizuri kiasili
Mwanza. Je, unajua chakula unachokula kinaweza kuamua jinsi mwili wako unavyonukia Iwapo...
Ijue misingi ya kuanzisha ndoa, familia iliyo bora
Uislamu umeipa ndoa uangalizi mkubwa na umakini wa hali ya juu, kwa kutambua kwamba uadilifu wa...
Makonda, Katambi wakabidhiwa wizara, Simbachawene atenguliwa
Uapisho wa viongozi wote walioteuliwa utafanyika Januari 13, 2026 katika Ikulu ya Chamwino...
Mitazamo ya jamii kwa Miss Grands Tanzania 2025
Miss Grands Tanzania 2025, Beatrice Alex ambaye pia ni balozi wa mchezo wa kubashiri wa Bang...
Samia: Shirikisheni sekta binafsi kwenye utafiti kupata matokeo chanya
Amewataka wananfunzi wanaosoma na watakaosoma katika taaisisi hiyo, watumie fursa hizo kwa...
Hizi hapa athari zinazowakabili wanaotunza fedha ndani
Hali hiyo pia inaweza kufanya nchi kuona uchumi wake haukui katika kiwango kinachotakiwa, jambo...
Machinga, bodaboda wapaza sauti kero za mikopo asilimia 10, Mwigulu akiri kuna shida
Dk Mwigulu amesema Serikali inalichukulia suala hilo kwa uzito na iko tayari kulitatua kwa...
Serikali kuwakumbuka wasaidizi wa kisheria kwenye bajeti ijayo
Amesema Serikali imeona huduma nzuri zinazotolewa na wasaidizi wa kisheria hasa kuyafikia...
Shauri la ACT-Wazalendo kupinga ubunge Lindi Mjini lafutwa
Shauri hilo la uchaguzi namba 30403/2025 lilifunguliwa na aliyekuwa mgombea ubunge jimboni humo...
Wadau walalamikia kanuni za kudhibiti uchovu wa madereva
Dar es Salaam. Wadau wa usafirishaji wametoa maoni kwa baadhi ya vipengele vya Kanuni za...
Aga Khan yazindua mfumo wa kielektroniki wa kumbukumbu za wagonjwa
Utekelezaji huo, umezingatia Mpango wa One Health wa Mtandao wa Maendeleo wa Aga Khan (AKDN).
Bunge la Seneta lamjia juu Trump sakata la Venezuela
Miongoni mwa Wabunge wanaounga mkono muswada huo, Rand Paul amesema kuwa kupitishwa kwa muswada...
Ajira mpya 1,000 zanukia, madereva na mafundi viyoyozi…
Mchakato wa kuwapata vijana hao na ajira zingine zinazotarajiwa kutangazwa mchakato utaanza...
TPSF yasitisha mkataba wa ajira wa Maganga, sababu yatajwa
Taarifa hiyo inaeleza kuwa baada ya kukamilika, ripoti ya ukaguzi wa kiuchunguzi ilipitiwa...
Uchaguzi Mkuu 2025 wapingwa Mahakama ya Afrika Mashariki
Magoti na Wangwe wamefungua shauri hilo dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Tanzania na...
Pwani yajipanga ushindani kimataifa uwekezaji wa viwanda
Kunenge amesisitiza umuhimu wa watendaji wa Serikali kufanya kazi kwa ushirikiano na mshikamano...