Mauya, Mbeya City kuna jambo
WAKATI dirisha dogo la usajili likitarajiwa kufunguliwa kuanzia Januari Mosi, 2026, uongozi wa Mbeya City uko katika mazungumzo ya kuipata saini ya aliyekuwa kiungo wa Yanga, Zawadi Mauya, ikiwa ni…
Karabaka bado Haamini mabao
KIUNGO wa JKT Tanzania, Saleh Karabaka amesema japo msimu huu anataka kufunga mabao mengi ikiwezekana 20, lakini bado haamini kilichomtokea hadi sasa kwani tangu aanze kucheza Ligi Kuu ndiyo mara…
Winga Mghana anukia Dodoma Jiji
DODOMA Jiji iko katika hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa aliyekuwa kiungo mshambuliaji wa Coastal Union, Mghana Dennis Modzaka baada ya kikosi hicho na nyota husika kufikia makubaliano.
Fufuni yaichimba mkwara Simba, kocha ajilipua
MABINGWA mara nne wa Kombe la Mapinduzi, Simba SC, imeambiwa ije kwa tahadhari kushiriki mashindano hayo kwani ratiba ya mechi zao mbili hatua ya makundi hazitakuwa rahisi.
Ndayiragije awasapraizi Chobwedo, Adam adam
HEBU fikiria. Wewe ni mchezaji, inatoka listi ya wanaoanza kikosi cha kwanza katika mechi, jina lako lipo, lakini baada ya dakika 28 tangu kipute kuanza, unaitwa benchi. Nafasi yako anachukua…
Wapinzani wa Yanga waanza kwa sare Mapinduzi Cup 2026
TIMU za KVZ na TRA United zilizopo Kundi C la michuano ya Kombe la Mapinduzi 2026 ambalo pia linaijumuisha Yanga, zimetoshana nguvu kwa kutoka sare ya bao 1-1.
Makocha Fufuni, Muembe Makumbi wafichua presha ilivyoamua matokeo
KOCHA Msaidizi wa Fufuni, Sueliman Abbas na Sheha Khamis Rashid wa Muembe Makumbi City, kila mmoja kwa waakati wake ameitaja presha ndiyo iliyoamua matokeo ya mechi baina yao.
Mapromota, TPBRC watofautiana katiba mpya
MCHAKATO wa mabadiliko ya Katiba Mpya ya Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa nchini (TPBRC) umeingia ‘mdudu’ baada ya Chama cha Mapromota wa mchezo huo (TAPBPA) kusema hakijafurahishwa na kilichofanyika na…
Raheem aingia anga za Azam FC
MATAJIRI wa Jiji la Dar es Salaam, Azam FC wamefungua mazungumzo na klabu ya Ghazl El Mahalla ya Misri ili kuipata saini ya beki wa kushoto wa kikosi hicho, Mtanzania…
Mwanengo mali ya Yanga, aanza tizi la Mapinduzi
ALIYEKUWA kiungo mshambuliaji wa TRA United (zamani Tabora United), Emmanuel Mwanengo ameanza mazoezi na Yanga tayari kwa kushiriki michuano ya Mapinduzi Cup inayoendelea Zanzibar.
Taifa Stars ‘do or die’ Morocco
HAKUNA namna. Taifa Stars ina dakika 90 ngumu usiku wa leo mbele ya Tunisia. Ni ushindi pekee ndio unaweza kuifanya timu hiyo isalie Morocco ama ifungashe virago kurudi nyumbani kama…
Kocha Fufuni macho yote kwa Simba
JANA Jumatatu kuanzia saa 10:15 jioni, vinara wa Ligi Kuu Zanzibar, Fufuni walikuwa uwanjani kucheza dhidi ya Muembe Makumbi City katika Kombe la Mapinduzi 2026, lakini kocha wa kikosi hicho,…
URA yapigwa mkwara mzito Mapinduzi Cup 2026
MABINGWA wa Kombe la Mapinduzi mwaka 2016, URA kutoka Uganda, wameambiwa wajiandae kupokea kipigo kutoka kwa watetezi wa michuano hiyo, Mlandege ya Unguja.
Winga Simba aibukia Mlandege
WINGA wa zamani wa Simba, Rashid Juma Mtabigwa, ameonekana akiichezea Mlandege katika michuano ya Kombe la Mapinduzi 2026 inayoendelea kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, Unguja, huku kocha msaidizi wa…
Ibenge atumia dakika 45 kupiga chabo wapinzani
KOCHA Mkuu wa Azam FC, Florent Ibenge hajakaa kinyonge kwani baada ya mechi yao ya kwanza katika Kombe la Mapinduzi iliyopangwa kuchezwa Desemba 28, 2025 dhidi ya URA kusogezwa mbele,…
Guede aongeza mzuka Singida Black Stars
BAADA ya kurejea kuitumikia Singida Black Stars, mshambuliaji Muivory Coast, Joseph Guede ameonekana kupandisha mzuka kikosini hapo.
Guede aanza kutupia Singida BS ikiicharaza Mlandege
BAADA ya kurejea ndani ya kikosi cha Singida Black Stars, mshambuliaji Muivory Coast, Joseph Guede, ameanza na mguu mzuri kwa kufunga bao lililoihakikishia pointi tatu timu hiyo katika ushindi wa…
Stars katika hesabu za vidole AFCON 2025
SARE ya bao 1-1, iliyoipata Taifa Stars juzi katika Michuano ya Mataifa ya Afrika (AFCON), dhidi ya Uganda ‘The Cranes’, imeiweka timu hiyo katika mtego wa kufuzu hatua ya 16…
Bocco aanza kazi rasmi Simba
SIKU chache baada ya Mwanaspoti kuripoti kuwa John Bocco atarejea Simba, nyota huyo tayari ametambulishwa na kuanza rasmi kazi ya kocha wa timu ya vijana wa timu hiyo, ikielezwa amewekwa…
Pina aanika kilichomrudisha Zenji
BAADA ya Mwanaspoti kuripoti taarifa kwamba mshambuliaji Abdallah Idd ‘Pina’ alikuwa ameachana na Pamba Jiji aliyoitumikia kwa miezi sita na kurejesha majeshi yake Zanzibar kujiunga na Muembe Makumbi, nyota huyo…
Beki Mghana apewa ‘Thank You’ Namungo
KLABU ya Namungo iko katika hatua za mwisho za kuachana na beki wa kati wa kikosi hicho, Mghana Daniel Amoah, baada ya kudaiwa benchi la ufundi la kikosi hicho haliko…
Mashujaa yasaka beki wa kulia
LICHA ya maafande wa Mashujaa kuachana na beki wa kati, Abdulmalik Zakaria aliyejiunga Singida Black Stars, uongozi wa kikosi hicho umeweka wazi kuondoka kwa mchezaji huyo si pengo tofauti na…
Wazir JR arejesha majeshi Dodoma Jiji
MSHAMBULIAJI wa zamani wa Dodoma Jiji, Waziri Junior anatarajiwa kuanza kuitumikia timu hiyo kupitia dirisha dogo la usajili litakapofunguliwa Januari Mosi, 2026 baada ya awali nyota huyo kwenda kucheza soka…
Fountain Gate yavizia straika Mbeya Kwanza
WAKATI dirisha dogo la usajili likitarajiwa kufunguliwa Alhamisi mabosi wa Fountain Gate wameanza mazungumzo ya kupata saini ya mshambuliaji nyota wa kikosi cha Mbeya Kwanza inayoshiriki Ligi ya Championship, Boniface…
Mapinduzi 2026 kuna vita ya wageni
BAADA jana Jumapili michuano ya Kombe la Mapinduzi 2026 kufunguliwa kwa kuchezwa mechi moja tu kati ya Mlandege na Singida Black Stars, leo Jumatatu zinapigwa mbili ikiwamo ile ya wageni…
Kagera yaweka rekodi mpya Championship
TIMU ya Kagera Sugar imeweka rekodi mpya katika Ligi ya Championship msimu huu, baada ya kikosi hicho kinachonolewa na Juma Kaseja kushinda mechi tisa mfululizo, ikifuatiwa na Geita Gold na…
Cheche aachia ngazi Chama la Wana
KLABU ya Stand United 'Chama la Wana', imefikia makubaliano ya pande mbili ya kuachana na aliyekuwa kocha mkuu wa kikosi hicho, Idd Nassor 'Cheche', ikiwa ni baada ya kuiongoza timu…
Kocha Gunners akomalia nyota tisa
KOCHA Mkuu wa Gunners ya jijini Dodoma, Juma Ikaba, amesema kwa sasa wanapambana kuwaingiza wachezaji wapya tisa katika mfumo pindi dirisha dogo la usajili litakapofunguliwa Januari Mosi 2026, baada ya…
Ally Ally achimba mkwara Geita Gold
BEKI wa kati wa Geita Gold, Ally Ally, amesema ubora na upana wa kikosi hicho ndio sababu ya kufanya vizuri msimu huu, licha ya kukiri ushindani umekuwa mkubwa, kutokana na…
NMB yaibeba Mapinduzi Cup kwa miaka mitano, SMZ yapongeza
WAANDAAJI wa mashindano ya Kombe la Mapinduzi 2026, wameitangaza Benki ya NMB kuwa mdhamini mkuu kwa kipindi cha miaka mitano, huku Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) ikipongeza.
Sababu Azam vs URA kuahirishwa Mapinduzi Cup 2026
WAKATI leo Desemba 28, 2025 michuano ya Kombe la Mapinduzi 2026 inafunguliwa kwenye Uwanja wa New Aman Complex uliopo Unguja, itapigwa mechi moja pekee badala ya mbili kama ilivyopangwa awali,…
Jinsi Mashabiki wa Mpira Tanzania Wanavyogundua Jackpot za Casino
Ukweli unaonekana wazi katika ulimwengu wa michezo Tanzania: mashabiki wa mpira wanaendelea kugundua jackpot za casino. Ni maendeleo ya kawaida mashabiki wanaobeti mechi za Simba SC dhidi ya Young Africans…
Pazia la Mapinduzi Cup 2026 lafunguliwa na mambo mawili
KWA namna waandaaji wa Kombe la Mapinduzi 2026 walivyopanga ratiba ya ufunguzi ni wazi waliangalia mambo mawili.
Mtibwa SUGAR yataka straika wa kimataifa
UONGOZI wa Mtibwa Sugar umesema hautakurupuka kufanya usajili katika dirisha dogo, lakini moja ya nafasi zitakazofanyiwa kazi ni eneo la ushambuliaji ukilenga kushusha straika mmoja wa kimataifa anayejua kufunga mabao…
KMC yampigia hesabu Nicholas Gyan
KMC inayoburuza mkia Ligi Kuu Bara inadaiwa ipo katika mawindo ya kumnasa winga wa zamani wa Fountain Gate, Mghana Nicholas Gyan kupitia dirisha dogo la usajili linalotarajiwa kufunguliwa Januari Mosi…
Straika Pamba Jiji arudi zake Zenji
MSHAMBULIAJI wa Pamba Jiji, Abdallah Idd ‘Pina’ amekamilisha uhamisho wa kujiunga na Muembe Makumbi City ya Ligi Kuu Zanzibar (ZPL), baada ya kushindwa kuwika Ligi Kuu Bara akiwa na kikosi…
Taifa Stars ni jambo moja tu, Foba atuma salamu
HAKUNA kingine kinachohitajika kwa Taifa Stars leo ila ni ushindi tu. Kila Mtanzania bila kujali imani yake, anapaswa kuomba dua njema ili Stars itoboe mbele ya Uganda The Cranes.
Mlandege inautaka ubingwa Mapinduzi Cup
MSIMU mpya wa michuano ya Kombe la Mapinduzi kwa mwaka 2026 inatarajiwa kuanza kesho Jumapili kwa klabu 10 ikiwamo Mlandege zitaanza mshikeshike wa wiki kama mbili kusaka taji hilo.