🔴KUMEKUCHA KISHINDO: CHIPUKIZI WA BONGO FLEVA..OKTOBA 17, 2025
🔴KUMEKUCHA KISHINDO: CHIPUKIZI WA BONGO FLEVA..OKTOBA 17, 2025
🔴KUMEKUCHA KISHINDO: CHIPUKIZI WA BONGO FLEVA..OKTOBA 17, 2025
#HABARI: Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalumu kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Felista Njau, ameibukia katika mkutano wa kampeni za uchaguzi mkuu uliofanyika mjini Bunda, ambapo alimnadi mgombea ubunge…
#HABARI: Maelfu ya waombolezaji wamejitokeza katika uwanja wa michezo wa Nyayo katika hafla ya Ibaada ya kuaga mwili wa aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya, Hayati Raila Odinga. Usalama umeimarishwa, huku…
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55, OKTOBA 17, 2025
Wadau wa elimu jumuishi wameandaa mbio maalum za uhamasishaji kuhusu changamoto ya 'dyslexia', ambazo zinatarajiwa kufanyika Oktoba 19, 2025. Waandaaji wa mbio hizo wamesema lengo kuu la tukio hilo ni…
NBC Premier League inarejea leo Ijumaa kwa michezo miwili Saa 8:00 mchana, Pamba Jiji watakuwa dimba la CCM Kirumba wakiwakaribisha Mashujaa FC. Saa 10:15 jioni, Fountain Gate watakuwa uwanja wa…
#HABARI: Serikali kupitia Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii imejipanga kuimarisha ufuatiliaji na kuwajengea uwezo wataalam wa afya nchini ili kuboresha utambuzi wa haraka wa ugonjwa wa Kipindupindu, hatua…
NBC Premier League inarejea leo Ijumaa hii kwa michezo miwili Saa 8:00 mchana, Pamba Jiji watakuwa dimba la CCM Kirumba wakiwakaribisha Mashujaa FC. Saa 10:15 jioni, Fountain Gate watakuwa uwanja…
#MICHEZO : Baada ya safari ya muda mrefu hatimaye Jana usiku mashabiki wengi wa Yanga walifanikiwa kufika mpakani. Ingawa muda ulikuwa umeenda hivyo ililazimu kulala hapa na kisha Asubuh tumeanza…
🔴KUMEKUCHA MICHEZO: | OKTOBA 17, 2025
Mapitio ya #MAGAZETI leo Oktoba 17, 2025 kwenye #MorningTrumpet #UTV108 #AzamTVUpdates
🔴KUMEKUCHA: UMUHIMU WA KUPIGA KURA ...OKTOBA 17, 2025
🔴MAGAZETI: MAPOKEZI MWILI WA ODINGA USIPIME AIRPORT YAVAMIWA.....OKTOBA 16, 2025
#KIPIMAJOTO: Wanaochana na kuharibu mabango ya Kampeni za Wagombea. Je, waadhibiwe kama wachochezi?
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI ...OKTOBA 17, 2025
Mamlaka ya Elimu nchini (TEA), Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) na Serikali ya Canada zimekamilisha ujenzi na ukarabati wa maabara nne za majaribio ya kisayansi katika…
"Kama mnavyofahamu Baba wa Taifa alikuwa ni mtu makini sana, katika kuhakisha kwamba anahubiri na kuitunza amani" Edward Katisho - Mshiriki Powered by #MCHEZOSUPA JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA: -…
🔴JIJI LETU KUTOKA DAR ES SALAAM: 16, OKTOBA 2025
#HABARI: Wajumbe wa Mradi wa Pamoja wa Vyama Vikuu vya Ushirika wa Korosho (KCJE LTD), wameendelea na ziara yao ya kutembelea vyama vingine vya ushirika wa mazao nchini, kwa lengo…
Katika hotuba yake kwenye Jukwaa la Tano la Biashara na Uchumi la Uturuki-Afrika siku ya Alhamisi, Mke wa Rais wa Uturuki Emine Erdogan alisisitiza nafasi muhimu ya wanawake katika kuunda…
#HABARI: Seif Msumari Hozza (26), Mkazi wa Luchelele na mfanyabiashara, amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza, kwa tuhuma za kulawiti mtoto wa kike mwenye umri wa miaka…
Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Jabiri Makame, amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura Oktoba 29, akisisitiza kuwa maamuzi yao ndiyo yatakayoweka msingi wa ndoto na hatma ya watoto wao…
Raia wawili wa Kenya wamefariki dunia baada ya polisi nchini humo kufyatua risasi kuwatawanya waombolezaji wa msiba wa Raila Odinga katika uwanja wa Kasarani baada ya maelfu ya waombolezaji hao…
Wakimbizi wa Burundi wanaoishi katika kambi ya Nyarugusu mkoani Kigoma wamefutiwa rasmi hadhi ya ukimbizi na kutakiwa kurejea Burundi hadi kufikia Juni mwakani kabla ya hatua kuanza kuchukuliwa dhidi yao…
🔴 MALUMBANOYAHOJA: "MIAKA 26 BAADA YA KIFO CHA MWALIMU JULIUS NYERERE . JE, AMEACHA URITHI GANI KWA WATANZANIA?", OKTOBA 16, 2025
Watu wanne wamefariki dunia jijini Nairobi, Kenya, siku ya Alhamisi baada ya vikosi vya usalama kufyatua risasi na kurusha mabomu ya gesi kuwatawanya maelfu ya watu waliokusanyika kwenye uwanja wa…
Athari za mabadiliko ya Tabianchi zinatajwa kuwa sehemu ya vikwazo katika maendeleo na ustawi wa mwanamke wa Tanzania hususani anayeishi kijijini. Leo wakati dunia ikiadhimisha “Siku ya Kimataifa ya Mwanamke…
#HABARI:Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewahimiza walimu nchini wasichoke kujiendeleza kitaaluma ili kuendana na mabadiliko yanayoendelea kutokea Duniani. Dkt. Biteko amesema katika Manispaa ya…
Dkt. Hussein Mwinyi ameahidi kuboresha mifumo ya manufaa ya sekta ya utalii Zanzibar ili yawafikie wananchi wengi zaidi kupitia mnyororo wa thamani na kupunguza changamoto ya ajira kwa vijana wa…
Chama cha NLD kimeahidi kupunguza posho za wabunge na badala yake fedha hizo zitaelekezwa katika kuongeza huduma za afya pamoja na kupandisha mishahara ya kada ya ualimu na askari. Ahadi…
Mgombea Urais kupitia Chama Cha Kijamii (CCK), David Mwaijojele ameahidi kufufua viwanda vilivyositisha uzalishaji katika mkoa wa Tanga sambamba na kuboresha miundombinu ya barabara. Mwaijojele ametoa ahadi hizo wakati akizungumza…
Serikali imeungana na wadau mbalimbali kutoa elimu ya afya na usafi wa mazingira kwa wakazi wa wilaya ya Mtama mkoani Lindi ili kuhamasisha wakazi hao kuzingatia unawaji mikono kwa maji…
#HABARI: Shahidi wa tatu katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu ambaye ni Mkaguzi wa Jeshi la Polisi kutoka Kitengo cha picha Kamisheni ya Uchunguzi wa Sayansi…
🔴TAARIFA YA HABARI SAA MBILI USIKU OKTOBA 16, 2025 -JWTZ LATOA UTARATIBU WAKUTOA TAARIFA ZAKE
#HABARI: Utafiti unaoendelea kufanyika katika Kitalu cha Lindi–Mtwara, mkoani Mtwara umeonesha dalili za uwepo wa Gesi Asilia, hususani katika Vijiji vya Mnyundo na Mpapura, ambapo visima vya maji vilibainika kuvujisha…
Waziri wa Biashara wa Uturuki, Omer Bolat, amesema kuwa kiwango cha biashara kati ya Uturuki na Afrika kimevuka dola bilioni 37 mwaka 2024, huku Ankara ikilenga kufikia dola bilioni 40…
Hello Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa Ready to continue your informative journey with us? Renew subscription Maybe later…
Hello Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa Ready to continue your informative journey with us? Renew subscription Maybe later…
Vikundi zaidi ya 70 vinavyojihusisaha na uhifadhi na utunzaji wa misitu na rasilimali zake vimetakiwa kuandika taarifa za kitaalamu za matumizi ya fedha za ruzuku wanazopokea kutoka katika Mfuko wa…
#HABARI: Mgombea Urais kwa Tiketi ya Chama cha NLD, Mhe. Doyo Hassan Doyo amesema, kama atapata ridhaa ya kuongoza nchi atahakisha kuwa eneo la soko la Mabibo maarufu kama Soko…
#MALUMBANO: "MIAKA 26 BAADA YA KIFO CHA BABA WA TAIFA MWALIMU JULIUS NYERERE . JE, AMEACHA URITHI GANI KWA WATANZANIA?"
Mgombea ubunge wa Arusha Mjini kupitia CCM, Paul Makonda, ametaja vipaumbele vyake, endapo atachaguliwa kuwa mbunge kuwa ni kukuza uchumi, kujenga miundombinu na kuboresha huduma za kijamii. Akizungumza na wafanyabiashara…
Mradi wa miaka mitano wa utambuzi wa magonjwa ya mlipuko umekamilisha awamu yake ya kwanza, ukilenga magonjwa ya Dengue na Chikungunya. Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii…
#HABARI: Katika tukio la kugusa hisia nyumbani kwa familia ya Hayati Raila Odinga, binti yake Winnie Odinga alionekana akimkabidhi mama yake kofia maarufu ya ‘White Fedora’ aliyokuwa akiivaa mara kwa…
🔴HAPA NA PALE KUTOKA RUKWA: OKTOBA 16, 2025 -WACHIMBAJI WAGOMA KUONDOKA ENEO LA MACHIMBO
Kocha wa Borussia Dortmund Niko Kovac anasema msururu wao wa kutoshindwa umeiongeza imani katika kikosi chake kuelekea mechi ya Der Klassiker dhidi ya Bayern Munich siku ya Jumamosi huko mjini…
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM Bara, Mussa Mwakitinya amewasihi wananchi kujitokeza kwa amani tarehe 29 Oktoba kupiga kura na kumpa ushindi wa…