WFP yasema bado msaada kwa Gaza ni mdogo
Shirika la Mpango wa Chakula la Umoja wa Mataifa, WFP limesema limeweza kusambaza kwa wastani wa takriban tani 560 za chakula kwa siku Gaza tangu usitishaji mapigano kati ya Israel…
Shirika la Mpango wa Chakula la Umoja wa Mataifa, WFP limesema limeweza kusambaza kwa wastani wa takriban tani 560 za chakula kwa siku Gaza tangu usitishaji mapigano kati ya Israel…
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali itaendelea kuweka mazingira wezeshi kwa makundi mbalimbali ya kijamii kushiriki kikamilifu katika shughuli za kiuchumi na kijamii. Majaliwa amesema kuwa Serikali inafanya hivyo kwa…
Hello Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa Ready to continue your informative journey with us? Renew subscription Maybe later…
Rais William Ruto ameliongoza taifa la Kenya kumpa heshima za mwisho hayati Raila Amollo Odinga katika uwanja wa Nyayo jijini Nairobi kabla ya maziko nyumbani kwake Bondo, jimbo la Siaya…
#HABARI: Idara ya Uhamiaji mkoani Kagera, imewakamata Watanzania 79 wanaojihusisha na biashara ya kuingiza Wahamiaji haramu nchini, pamoja na raia wa kigeni zaidi ya 2000 walioingia na kuanza kuishi kinyume…
Oktoba 17 ni siku ya kimataifa ya kutokomeza umaskini. Licha ya utajiri wa rasilimali nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, wakazi wengi bado ni masikini wa kupindukia.
Rais Recep Tayyip Erdogan amesema kuwa Uturuki inafanya juhudi kubwa kuhakikisha makubaliano kati ya Hamas na Israel yanadumu na kufungua njia kuelekea amani ya kudumu.
Jeshi la Polisi mkoani Geita linamshikilia Martha Japhet (44), mkulima na mkazi wa Kitongoji cha Mzalendo, Kijiji cha Mawemeru, Kata ya Nyarugusu, Wilaya ya Geita kwa tuhuma za mauaji ya…
#HABARI: Mgombea wa Ubunge kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), katika Jimbo la Peramiho, Bi.Jenista Mhagama, ametoa rai kwa wananchi kuilinda amani na utulivu uliopo kwakuwa ndio kichocheo kikubwa…
Azam FC imetoa wito kwa Watanzania kuchangamkia nafasi ya Mtendaji Mkuu iliyoachwa wazi na Abdulkarim Nurdin maarufu kama Popat.
#HABARI: Mpaka sasa baadhi ya wanachama wa Yanga hawajafanikiwa kuvuka mpaka wa Tanzania na Malawi - Kasumulu kutokana na changamoto mbalimbali zikiwemo za uhalali wa hati ya chanjo ya manjano…
Mke wa Rais wa Uturuki, Emine Erdogan, ambaye pia ni mwenyekiti wa Baraza la Ushauri la Juu la Umoja wa Mataifa kuhusu Mradi wa Kutokuwepo kwa Taka 'Zero Waste;, anatarajiwa…
WAMEVUNJA mwiko. Hatimaye Pamba Jiji imepata ushindi wake wa kwanza msimu huu kwenye Ligi Kuu Bara baada ya kuichapa Mashujaa FC ya Kigoma kwa mabao 2-1.
Ibada rasmi ya kitaifa ya aliyekuwa waziri mkuu wa zamani wa Kenya Raila Odinga, imefanyika jijini Nairobi. Viongozi na raia walikusanyika kwenye uwanja wa Nyayo kumfanyia marehemu kigogo huyo sala…
Katika chaguzi sita zilizopita vyombo vya habari vya Tanzania vililaumiwa kuwa vimekuwa havitoi nafasi sawa kwa vyama vyote wakati wa kampeni. Swali ni je mara hii vyombo vya habari vinatazamwa…
#HABARI: Mjadala mzito umeibuka baada ya shahidi wa tatu katika kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu kuomba Mahakama impatie kompyuta ili aweze…
Baadhi ya wananchi wanaoishi maeneo ya pembezoni mwa mkoa wa Mtwara kusini mwa Tanzania wamekosoa mwenendo wa kampeni wakisema hazigusii changamoto halisi wanazokabiliana nazo.
🔴MEZA HURU: HESHIMA YA SUTI....OKTOBA 17, 2025
Ligi Kuu ya England inarejea tena wikiendi hii baada ya mapumziko kwa ajili ya kucheza mechi za kimataifa.
BAADA ya mapumziko ya kupisha kalenda ya Fifa kumalizika wiki hii, kipute cha Ligi Kuu Bara kinaendelea jana ikishuhudiwa mechi mbili kati ya Pamba Jiji iliyoikaribisha Mashujaa mjini Mwanza, huku…
Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) Mkoa wa Tanga imekusanya shilingi bilioni 31 katika kipindi cha miezi mitatu ya robo ya kwanza ya mwaka wa fedha 2025/26, kutokana na maboresho mbalimbali…
Mamlaka ya Mafunzo ya Amali inaandaa rasimu ya mitaala itakayotumika katika vyuo vya mafunzo ya amali, ili kusaidia kuwajengea wajasiriamali ujuzi na taaluma zitakazowawezesha kuzalisha bidhaa zenye ubora na viwango…
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55, OKTOBA 17, 2025
“…waombolezaji wenzangu nilikuwa na Baba India hadi alipovuta pumzi yake ya mwisho, alifariki mikononi mwangu, lakini hajafariki kama ambavyo watu wamekuwa wakisema mitandaoni, kila siku alikuwa akiamka na kutembea….asubuhi ile…
Zikiwa zimesalia siku 13 kabla ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu wa Tanzania, baadhi ya viongozi wa watu wenye ulemavu wilayani Morogoro wamesisitiza umuhimu wa kuwepo kwa mazingira rafiki yatakayowawezesha kushiriki…
Mwili wa Waziri Mkuu mstaafu wa Kenya, marehemu Raila Odinga umeagwa kitaifa leo na kuhudhuriwa na watu mbalimbali wakiongozwa na Rais William Ruto. Tukio hilo limefanyika katika Uwanja wa Kitaifa…
Tanzania inatarajia kufanya Uchaguzi wake Mkuu Oktoba 29, 2025 ambapo wananchi wa taifa hilo wanatumia haki yao ya kikatiba kuchagua viongozi mbalimbali, kuanzia rais, wabunge na madiwani.
#HABARI: Baadhi ya Wadau wa Misitu katika mikoa ya Nyanda za Juu Kusini, wameiomba Serikali kupiga marufuku matumizi ya moto katika shughuli za maandalizi ya mashamba, kwani majanga mengi ya…
Msafara huo utakwenda baada ya mazungumzo yaliyofanywa na Mwenyekiti CHADEMA taifa, Tundu Antiphas Lissu na Heche mahakamani, siku ya Oktoba 16, 2025.
KIUNGO mshambuliaji wa Azam FC, Feisal Salum 'Fei Toto', amesema kufundishwa na Kocha, Mkongomani, Florent Ibenge ni hatua kubwa kwa timu hiyo kufikia malengo iliyojiwekea hasa michuano ya kimataifa.
WAKATI presha ya mechi ya kwanza ya raundi ya pili ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya KMKM na Azam FC ikipanda, makocha wa timu zote wametambiana kabla ya pambano…
Mjane Ida Odinga amewaomba Wakenya na mataifa jirani ya Afrika Mashariki, kumuomboleza Hayati Raila Amolo Odinga kwa amani wakati huu, familia na wafuasi wa kiongozi huyo wa zamani wa upinzani…
#HABARI: Aliyewahi kuwa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha Cecilia Paresso ametoa wito kwa Watanzania kujitokeza kwa wingi kupiga kura Oktoba 29, 2025. Akizungumza na wananchi wa jimbo la…
#HABARI: Mahakama Kuu Masjala ndogo ya Dar es Salaam hii leo inaendelea kumsikiliza shahidi wa tatu Inspekta Samweli Elibariki Kaaya, polisi kitengo cha picha Kamisheni ya Uchunguzi Sayansi Jinai mwenye…
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango, amesema kuwa kutokana na kuwepo kwa kiwango kikubwa cha uharibifu wa mazingira nchini, kinachosababisha kuvuruga ikolojia na kutishia shughuli za utalii, ni…
🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55, OKTOBA 17, 2025
Mtaalamu wa Saikolojia na Ushauri, Imelda Mosha ameeleza matukio makubwa matatu yanayosababisha mtu kuwa na trauma, matukio hayo kwa mujibu wa Imelda ni pamoja na kumpoteza mpendwa au mtu wa…
#MEZAHURU: Vazi la suti linafaa kuvaliwa sehemu gani kwenye shughuli au tukio gani? Je vazi hili lina maana yoyote?
“Kinachoumiza baadhi ya nchi za Afrika kuwa maskini ni idadi kubwa ya watu ambayo ni changamoto ya kukua kiuchumi kwa nchi nyingi," - Mchambuzi wa Uchumi, Ally Mkimo. ✍Nifa Omary…
"Uamuzi huo ulitarajiwa. (Lakini) kuanzia sasa, kutakuwa na majadiliano. Tutaona jinsi mambo yataendelea," Koloneli Michael Randrianirina anasema.
🔴HABARI ZA SAA, SAA TANO NA DAKIKA 55, OKTOBA 17, 2025
MASHINDANO ya kukimbia yaliyopewa jina la Yas Zanzibar International Marathon yamepangwa kufanyika Novemba 23 Novemba 2025 yakiwa na kauli mbiu ya “Kila Hatua ni Special.”
#HABARI: Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango, pamoja na Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete, leo wameungana na viongozi mbalimbali duniani kutoa heshima zao za mwisho kwa Hayati Raila…
🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55, OKTOBA 17, 2025
Msafara wa Yanga umetua ndani ya ardhi ya Malawi ukiwa na zaidi ya watu 50 ambao unajumuisha wachezaji, maofisa wa benchi la ufundi, viongozi, maofisa, waandishi wa habari pamoja na…
Mzee Mangushi aliutoa mwili wake wote nje ya mlango. “Shida gani tena” alihoji uso wake ukitaliwa na wasiwasi. “Mimi ni Inspekta Haroub na mwenzangu ni Sajenti Chris,” walijitambulisha wageni hao...
#HABARI: Mahakama Kuu Kanda ya Tanga imewahukumu Hamisi Jamali Mkufya (22) na Abdallah Sebo (20), wakazi wa Mbugani, kifungo cha maisha jela baada ya kupatikana na hatia ya kosa la…
🔴HABARI ZA SAA, SAA TATU NA DAKIKA 55, OKTOBA 17, 2025
#HABARI: Serikali ya Tanzania kwa kushirikiana na Shirika la Kuhudumia Wakimbizi Duniani, wamepanga kufunga kambi ya wakimbizi ya Nduta na Nyarugusu kwa upande wa wakimbizi kutoka nchini Burundi ifikapo Juni,…
Rais mstaafu wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na Makamu wa Rais wa sasa Dkt. Philip Mpango wamewasili jijini Nairobi, Kenya, kwa ajili ya kushiriki ibada ya kuuaga mwili wa…