Cheche alia na mambo mawili Chama la Wana
KOCHA Mkuu wa Stand United ‘Chama la Wana’ ya Shinyanga, Idd Cheche amesema kukosa umakini eneo la ulinzi na utumiaji sahihi wa nafasi za kufunga kimewaangusha katika mechi ya kwanza…
KOCHA Mkuu wa Stand United ‘Chama la Wana’ ya Shinyanga, Idd Cheche amesema kukosa umakini eneo la ulinzi na utumiaji sahihi wa nafasi za kufunga kimewaangusha katika mechi ya kwanza…
KOCHA wa Mbuni FC, Leonard Budeba, amesema maandalizi makini na umakini wa wachezaji wake katika kufuata maelekezo ndiyo siri ya ushindi mnono wa mabao 4-0 walioupata dhidi ya Mbeya Kwanza…
DODOMA Jiji ipo hatua za mwisho kumchukua kocha Aman Josiah ili kuziba pengo la Vincent Mashami raia wa Rwanda wanayetaka kuachana naye ikitajwa sababu ya kukosa vigezo vya kukaa benchi…
#HABARI: Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Ziwa Victoria, Ezekiel Wenje, amejiuga na Chama cha Mapinduzi CCM leo, wakati wa Kampeni za CCM za kumnadi mgombea wake wa Urais Dkt.…
"...kipindi tunamzika Mzee wetu Mama ulisema hautatuacha Chato na hakika hili umeweza kulidhihirisha sana, na mimi leo niko mbele yenu wazazi wangu lakini niko mbele hapa nikiongea katika ardhi ambayo,…
#HABARI: Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alisema "Kaka yangu Magufuli ameondoka lakini Dada yenu sitaiacha Geita". Mgombea Ubunge wa Jimbo la Pangani kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jumaa Aweso, amesema…
#HABARI: Halmshauri ya Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, imetia saini mkataba wa utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa soko jipya la Kwa Sadala, utakaogharimu zaidi ya shilingi bilioni kumi huku…
Patrick Herminie alikuwa mwanachama wa People's Party, aligombea katika uchaguzi wa urais wa 2025 kama mgombeaji wa United Seychelles.
#HABARI: Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu katika Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imeahirishwa kwa muda. Kesi hiyo iliyooanza…
Umepanga kutoa zawadi ya nyumba, kiwanja harusini? basi zingatia haya ili kuepusha migogoro ya kisheria inayoweza kutokea kwa wanandoa waliopewa zawadi hiyo. #SheriaUpdates
#HABARI: Mbunge wa viti maalum mstaafu, Felista Njau, ameibukia Tarime mkoani Mara na kutoa wito kwa Watanzania kuendelea kumuunga mkono Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, akisema ni wajibu wa taifa…
Kuishi watu wengi katika familia moja ni jambo linaloendelea kujadiliwa katika jamii nyingi, hasa kwa kuzingatia mabadiliko ya maisha ya kisasa. Wapo wanaoona ni maendeleo, wakisema mfumo huu hujenga umoja,…
#HABARI: Jeshi la Polisi mkoani Songwe linamshikilia Justine Gama (40), Raia wa Malawi anayeishi mjini Mzuzu, kwa tuhuma za kukutwa na vipande 15 vya pembe za ndovu kinyume na Sheria…
Rajoelina, ambaye hajaonekana hadharani tangu Jumatano, alisema mwishoni mwa wiki kuwa kulikuwa na "njama ya kuchukua madaraka kinyume cha sheria."
Serikali kupitia vyombo vyake vya dola, imewatahadharisha wananchi dhidi ya kujihusisha na vitendo ambavyo vinaweza kuvunja amani, huku ikiahidi kuchukua hatua kali za kisheria kwa watakaobainika kufanya hivyo.
#HABARI: Uwekezaji, uwezeshaji na maboresho madhubuti ya Vipaumbele 5 vya Sera ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi ikiwemo kilimo, nishati, miundombinu ya usafiri majini na utalii endelevu vimechochea ongezeko kubwa…
#HABARI: Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalumu mkoa wa Arusha, Cecilia Paresso amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kuwapigia kura wagombea wa CCM Oktoba 29, mwaka huu. Amesema hayo wakati wa mkutano…
Mgombea huyo wa CCM, alisisitiza kuwa amani ikivurugika vijana watashindwa kushiriki shughuli mbalimbali kama vile uchimbaji madini na burudani.
🔴MEZA HURU: SOKO LA KARIAKOO .OKTOBA 13, 2025
Wananchi wa Mkoa wa Ruvuma wametakiwa kujitokeza kwa wingi kupiga kura na kudumisha amani na utulivu kipindi hiki cha uchaguzi, ili kuendele kumuenzi Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere.…
Faida na changamoto za kuishi watu wengi katika familia moja : Je, ni maendeleo au kurudi nyuma Tupe maoni yako na tutayasoma katika #Kilingechafamilia Jumapili saa 1:00 kamili usiku. 📸iStock
Baada ya maandamano makubwa ya vijana kuungwa mkono na jeshi, rais Rajoelina azungumzia wasiwasi wa kupinduliwa madarakani
Wakulima wa mkoani Kagera wamesema bado wanakabiliwa na changamoto ya upatikanaji wa mikopo yenye gharama nafuu kutoka taasisi za kifedha, hali inayosababisha kushindwa kuendeleza shughuli zao za kilimo, ikiwemo upanuzi…
Ajali ya basi ilitokea Jumapili Cape Mashariki na waliokufa ni raia kutoka Zimbabwe na Malawi waliokuwa safarini kurudi katika nchi zao
Watumishi wa idara ya afya katika hospitali za halmashauri mkoani Simiyu wamehimizwa kushiriki huduma za kibingwa ambazo zinaanza kutolewa leo katika hospitali zao, ili kupata ujuzi kutoka kwa madaktari bingwa…
INEC imesema uamuzi huo umefikiwa baada ya tangazo la Serikali Namba 596 na Namba 600 la Oktoba 3, 2025.
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amepuuza miito ya upinzani ya kumtaka aachie madaraka kumaliza mvutano wa kisiasa
Rais wa mamlaka ya Wapalestina Mahmoud Abbas na waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ni miongoni mwa viongozi 19 watakaoshiriki hafla hiyo katika mji wa Sharm-El Sheikh nchini Misri
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55, OKTOBA 13, 2025
Mateka 20 wa Israel waliokuwa mikononi mwa Hamas tangu Oktoba 7 wakabidhiwa shirika la msalaba mwekundu kusini mwa Ukanda wa Gaza
🔴HABARI ZA SAA, SAA SITA NA DAKIKA 55, OKTOBA 13, 2025
Othman alisikiliza kero za wananchi ikiwa ni pamoja na hofu ya kuhamishwa katika eneo hilo ili kupisha ujenzi wa soko.
Shule ya Msingi Kiwanja cha Ndege ya Dodoma imekabidhiwa kisima cha maji safi na salama na Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA) ikiwa ni utekelezaji wa ahadi iliyotolewa miaka miwili…
Chuo cha Kumbukumbu cha Mwalimu Nyerere kimeandaa kongamano la kuadhimisha miaka 26 tangu kufariki kwa Baba wa Taifa na Rais wa kwanza wa Tanzania, Hayati Mwalimu Julius Nyerere, huku masuala…
Mpaka hapa ninaposimulia mkasa huu, Hamisa ameshanizalia watoto watatu, na kwa mawazo yangu watoto hao wanatosha kabisa. Nataka tuwasomeshe wapate elimu bora, nikiamini kuwa mmojawapo anaweza kuja kurithi kazi yangu,…
🔴HABARI ZA SAA, SAA TANO NA DAKIKA 55, OKTOBA 13, 2025
Rais wa Marekani, Donald Trump, amewasili nchini Israel kupitia Uwanja wa Ndege wa Ben Gurion, ambapo amepokelewa na Rais wa Israel, Isaac Herzog, pamoja na Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu. Trump…
Rais wa China Xi Jinping na mkewe Peng Liyuan wamefungua rasmi mkutano wa Viongozi wa Dunia kuhusu Wanawake kwa kujumuika pamoja na viongozi kutoka maeneo mbalimbali ulimwenguni.
Hamas imewakabidhi mateka hai 20 wa Israeli kwa shirika la Msalaba Mwekundu huko Gaza, leo Oktoba 13, 2025. Kituo cha habari cha umma cha Israel kimesema kundi hilo liliwaachilia mateka…
#HABARI: Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeahidi kitaendelea kusimamia ubora wa elimu katika Jimbo la Peramiho na kuongeza miundombinu ya vyumba vya madarasa 255 ili kuwezesha wanafunzi kupata elimu katika mazingira…
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana, Ajira na Watu Wenye Ulemavu, Mary Maganga, amewataka vijana kote nchini kutumia haki yao ya kuchagua viongozi wanaoakisi matumaini na malengo…
Msikilize Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa akizungumzia sakata la Humphrey Polepole. #AzamTVUpdates Mhariri | John Mbalamwezi
🔴HABARI ZA SAA, SAA NNE NA DAKIKA 55, OKTOBA 13, 2025
#HABARI: Mgombea ubunge Jimbo la Kigoma mjini kupitia Chama cha ACT- Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe amebainisha kuwa amefanya mambo mengi katika mkoa wa Kigoma lakini jambo la kuheshimisha mkoa huo…
Fuatilia simulizi ya Nyanso (si jina lake halisi), mama wa watoto watatu aliyeolewa akiwa na umri wa miaka 16 tu, akapitia ukatili wa ndoa ya utotoni na hatimaye kubeba jukumu…
Rais wa Marekani Donald Trump amewasili Israel kukutana na familia za mateka na kuhutubia bunge la Knesset kabla ya kuelekea Misri kuhudhuria mkutano wa amani kuhusu vita vya Gaza.
“Kampuni mbalimbali zimeagiza mabasi…na kila njia imepewa kampuni zake...” Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa akizungumzia tathmini ya usafiri wa Mwendokasi Dar es Salaam katika mahojiano maalum kwenye kipindi cha…
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema vyombo vya dola vimejiandaa kuhakikisha uchaguzi wa Oktoba 29 unafanyika kwa hali ya utulivu, haki na amani huku akiwataka wananchi kujitokeza kwa wingi…
Droni ya Ukraine imeshambulia ghala la mafuta katika mji wa Feodosia, mashariki mwa Crimea, na kusababisha moto mkubwa, afisa wa Urusi Sergei Aksyonov amesema.
#MEZAHURU: Je ni Kipi kifanyike kwenye Soko la Kariakoo ili kuboresha huduma la soko hilo kimataifa..?