#HABARI: Mgombea ubunge Jimbo la Kigoma mjini kupitia Chama cha ACT- Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe amebainisha kuwa amefanya mambo mengi katika mkoa wa Kigoma lakini jambo la kuheshimisha mkoa huo na watu wake ni moja ya jambo kubwa alilolifanya katika kipindi ambacho alikuwa bungeni.

Zitto Kabwe amesema hayo wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika viwanja vya Mwanga Community Center ikiwa ni muendelezo wa kampeni kuelekea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 29, 2025.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *