“Kampuni mbalimbali zimeagiza mabasi…na kila njia imepewa kampuni zake…” Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa akizungumzia tathmini ya usafiri wa Mwendokasi Dar es Salaam katika mahojiano maalum kwenye kipindi cha #MorningTrumpet kinachorushwa kupitia #UTV
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi