30.09.2025 Matangazo ya Asubuhi
Rais wa Marekani Donald Trump alimkaribisha waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu mjini Washington kwa mkutano wa kujadili pendekezo la mpango wa amani wa Ukanda wa Gaza+++Mkutano wa 80 wa…
Rais wa Marekani Donald Trump alimkaribisha waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu mjini Washington kwa mkutano wa kujadili pendekezo la mpango wa amani wa Ukanda wa Gaza+++Mkutano wa 80 wa…
Hakuna aliye tayari kusimama na Israel au kuonekana kwenye picha na serikali ya Netanyahu, isipokuwa mataifa machache,' anasema Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan.
Viongozi wa Marekani na Korea Kaskazini wameonesha utayari wa kukutana kwa mara ya nne, lakini pande hazijalegeza msimamo katika suala muhimu la kudhibiti mpango wa nyuklia wa Korea Kaskazini.
Katibu Mkuu wa zamani wa NATO, Jens Stoltenberg, aezela jinsi alivyombembeleza Trump asiondoke NATO, pendekezo la “suluhisho la Kifini” kwa Ukraine, na mvutano wake na Ufaransa kuhusu uongozi na mageuzi…
Kadri Tanzania inavyokaribia uchaguzi wa Oktoba, migawanyiko ndani ya chama tawala na upinzani uliogawanyika inaweza kuamua mustakabali wa kisiasa wa nchi hiyo.
Waziri wa mambo ya nchi za nje wa Ujerumani Johann Wadephul, amesema suluhisho la mzozo wa Gaza lipo karibu kufikiwa huku akipongeza juhudi za Marekani za kutaka kusitisha vita katika…
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuwahudumia Watoto, UNICEF limetoa wito wa kuhamishwa mara moja kwa kiasi cha watoto 25 walio wagonjwa ama njiti walioko katika mashini za kuwatunza watoto…
Hungary imetangaza leo kufungia ufikiaji wa tovuti 12 za habari za Ukraine baada ya hatua kama hiyo kuchukuliwa na Ukraine na kuzidisha mvutano kati ya mataifa hayo mawili jirani.
Mshauri mkuu wa utawala wa mpito wa Bangladesh ameishutumu India kwa kuchochea machafuko, kufuatia vifo vya watu watatu katika ghasia za kikabila kwenye wilaya ya kusini-mashariki mwa nchi hiyo.
Sudan imetoa onyo la uwezekano wa mafuriko katika majimbo matano kando ya Mto Nile, ikitaja kupanda kwa viwango vya maji katika vijito vyake viwili vikuu, Blue na White Nile.
Raia wa Afrika Magharibi waliofukuzwa na Marekani na kupelekwa Ghana sasa wanajisimamia mahitaji yao wenyewe nchini Togo baada ya kuachwa huko bila nyaraka zao.
Mkataba wa kibiashara kati ya Marekani na nchi za Afrika unafikia ukingoni. Kuna tishio la kupotea kwa ajira, lakini pia kuna fursa kwa bara hili kuimarisha ushirikiano mpya wa kibiashara.
Ukiukaji wa anga ya NATO, mashambulio ya droni na maombi ya Ukraine ya makombora ya Tomahawk vinatishia kupanua mzozo — Ulaya inakabiliwa na chaguo gumu: kuimarisha vizuizi au kuepuka kuingia…
Mjadala Mkuu wa mkutano wa 80 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa leo ni siku ya sita ambapo viongozi wa dunia wanaendelea kutoa hotuba zao kwenye ukumbi wa Baraza…
Siku sita za Mjadala Mkuu wa Mkutano wa 80 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA80) zimetamatika leo Jumatatu Septemba 29 alasiri kwa Rais wa Baraza hilo Annalena Baerbock…
Vaticani ametoa wito mzito wa mshikamano wa kimataifa, amani na haki wakati wa Mjadala Mkuu wa Mkutano wa 80 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, ambapo Askofu Mkuu Paul…
Malawi katika Mjadala Mkuu wa mkutano wa 80 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa imewakilishwa na Balozi Agnes Mary Chimbiri-Molande ambaye amezungumzia maendeleo ambayo nchi yake imepiga katika kukuza…
Katika hotuba yenye nguvu katika kikao cha 80 cha Mjadala Mkuu wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, UNGA80 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kikanda wa Burundi,…
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Zambia, Mheshimiwa Mulambo Haimbe, ambaye amesema Zambia inalaani vikali vita na uvamizi na wanasihi pande zote kwenye mizozo iliyotawala duniani…
Mwakilishi wa kudumu wa Kenya katika Umoja wa Mataifa, Balozi Ekitela Lokaale, amesema kuwa ni wakati muafaka kwa Afrika kupewa nafasi ya kudumu katika Baraza la Usalama la Umoja wa…
Tukisalia hapa katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa, kandoni mwa Mjadala Mkuu wa Mkutano wa 80 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, UNGA80, inafanyika mikutano mingine ya pembezoni…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Eritrea, Osman Saleh Mohammed, amehutubia Mjadala Mkuu wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa katika Kikao cha 80 au UNGA80, akionya kwamba mfumo wa…
Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa OHCHR, katika eneo linalokaliwa kimabavu la Palestina imetoa onyo kali leo kuhusu kile ilichokiita mashambulizi ya mara kwa mara ya kijeshi…
Simulizi ya Chekeni Salumu ni mfano wa kuigwa wa ujasiri na matumaini. Licha ya kuzaliwa bila mikono, hakukata tamaa. Akiwa bado msichana mdogo, alijifunza kuandika kwa kutumia miguu na sasa…
Guinea imetangaza kuwa itafanya uchaguzi wa urais Desemba 28, uchaguzi wa kwanza tangu Jenerali Mamadi Doumbouya achukue mamlaka katika mapinduzi ya mwaka 2021. Imechapishwa: 29/09/2025 – 13:52 Dakika 1 Wakati…
Matokeo ya uchaguzi wa wabunge wa Septemba 27, 2025, yametangazwa usiku wa Septemba 28. Chama cha Democratic Union of Builders (UDB), chama cha Rais Oligui Nguema, ndicho kinaongoza. Kimeshinda wapinzani…
Jamaa wa mateka wanaoshikiliwa katika Ukanda wa Gaza wametuma barua ya dharura kwa Rais wa Marekani Donald Trump kabla ya kukutana na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu baadaye hii…
Marekani inazingatia ombi la Ukraine la kupata makombora ya masafa marefu aina ya Tomahawk kwa juhudi zake za kukabiliana na wavamizi wa Urusi. Haya yamesemwa jana na naibu rais JD…
Umoja wa Ulaya umethibitisha leo kuwa umerejesha vikwazo dhidi ya Iran, kufuatia hatua kama hiyo iliyochukuliwa na Umoja Mataifa.
Umoja wa Ulaya umepongeza matokeo ya uchaguzi wa bunge nchini Moldova na kusema umeonyesha kuwa nchi hiyo ndogo ya mashariki mwa Ulaya iko kwenye njia sahihi ya kujiunga na Umoja…
Guinea itafanya uchaguzi wake mkuu wa kwanza wa urais tarehe 28 Desemba tangu mapinduzi ya mwaka 2021. Haya ni kwa mujibu wa agizo la rais lililosomwa kupitia televisheni ya kitaifa.
Umoja wa Ulaya umethibitisha kwamba umeiwekea tena vikwazo Iran, kufuatia mpango wake wa nyuklia, siku moja baada ya Umoja wa Mataifa kurejesha vikwazo vyake kwa Jamhuri hiyo ya kiislamu kwa…
Umoja wa Ulaya umethibitisha kwamba umeiwekea tena vikwazo Iran, kufuatia mpango wake wa nyuklia, siku moja baada ya Umoja wa Mataifa kurejesha vikwazo vyake kwa Jamhuri hiyo ya kiislamu kwa…
Umoja wa Ulaya umewapongeza wapigakura wa Moldova kwa ushindi wa chama tawala kinachopendelea Umoja huo, ambapo vyama vinavyoelemea upande wa Urusi vimeangushwa vibaya.
Shirika la utetezi wa haki Human Rights Watch limetoa ripoti ikidai ukandamizaji wa kisiasa Tanzania unaweka hatarini uchaguzi wa Oktoba 29, huku wahanga wakiripoti kutekwa, kushambuliwa na kubanwa kwa vyombo…
Mwanamume aliyepatikana na hatia ya ujasusi na kutajwa na Iran kama “mmoja wa majasusi muhimu” wa Israel, adui mkuu wa Tehran, ameuawa alfajiri ya Jumatatu, kwa mujibu wa mahakama ya…
Nchini Uganda, kampeni za urais za Januari 12, 2026, zinaanza leo Jumatatu, Septemba 29. Rais wa sasa Yoweri Museveni, 81, anawania muhula wa saba baada ya takriban miaka arobaini madarakani.…
Miaka minane baada ya kuachiliwa kutoka gerezani na miaka mitatu baada ya kupata talaka yake kutoka kwa Laurent Gbagbo, Simone Ehivet sasa analenga kuchukua wadhifa wa juu zaidi nchini Côte…
Mwezi mmoja kabla ya uchaguzi wa rais, upinzani unashutumu demokrasia ya ngazi mbili. Kikiwa kimekataliwa mara mbili katika kinyang’anyiro cha urais, ACT-Wazalendo, chama cha tatu kwa ukubwa nchini humo, sasa…
Wiki iliyopita, Shirika la Habari za Kifedha la Msumbiji (GIFim) lilitoa ripoti ya inayotaja mitandao ya ufadhili wa kigaidi kutoka mwaka 2017 hadi mwaka 2024. Kwa miaka minane, eneo la…
Takriban watu wanne wameuawa siku ya Jumapili, Septemba 28, na mtu aliyefyatua risasi wakati wa ibada katika kanisa la Mormon huko Michigan, kaskazini mwa Marekani, kulingana na idadi mpya ya…
Waziri Mkuu wa Israel anatarajia kukutana leo Jumatatu na mwenzake wa Marekani Donald Trump kuhusu vitra vya Gaza, baada ya kuelemewa na ukosoaji kutoka nje ya nchi kutokana na vita…
Wakati kampeni za uchaguzi mkuu ziking’oa nanga mwishoni mwa juma lililopita nchini Cameroon, kiongozi mkongwe wa taifa hilo Paul Biya anayewania kuchaguliwa kwa muhula wa nane hakuonekana. Imechapishwa: 29/09/2025 –…
Watu 95 wamekufa kutokana na njaa pamoja na magonjwa katika kipindi cha siku 40 zilizopita kwenye kambi ya wakimbizi ya Abu Shouk huko El Fasher nchini Sudan, wafanyakazi wa kujitolea…
Rais wa U.S Donald Trump anatarajiwa kukamilisha pendekezo la mpango wa amani wa Gaza anapokutana Jumatatu na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu, huku Israel ikizidi kuishambulia Gaza City.
Wizara ya sheria nchini DRC, imetangaza kusitisha kwa muda wa wiki 5, utoaji wa leseni za makanisa, vyeti vya uraia na nyaraka nyingine katika kile imesema ni kujaribu kukabiliana na…
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu anatarajiwa kutetea hoja yake ya "kumaliza kazi" aliyoanza kwenye Ukanda wa Gaza wakati atakapokutana na Rais Donald Trump wa Marekani siku ya Jumatatu.
Rais wa Iran Masoud Pezeshkian amesema kamwe hawataingia makubaliano yoyote yanayoweza kusababisha "matatizo mapya" wakati taifa hilo likirejeshewa vikwazo vya Umoja wa Mataifa.
Chama tawala cha Moldova na kinachounga mkono Umoja wa Ulaya kinaongoza kwenye uchaguzi wa bunge hii ikiwa ni kulingana na kura ambazo tayari zimehesabiwa hadi mapema siku ya Jumatatu.
Msemaji wa Ikulu ya Kremlin Dmitry Peskov amesema Kyiv haijawahi kuonyesha nia ya kurejea kwenye mazungumzo kati ya Urusi na wajumbe wa taifa hilo.