Takwimu za UNGA: Hotuba ndefu zaidi, Wanawake Wachache, na baadhi kutokuwepo
Kwa muda wa siku sita, safu ya viongozi wa dunia (194 kwa jumla, 24 tu kati yao wakiwa ni wanawake) walitoa hotuba kwenye Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kutoka…
Kwa muda wa siku sita, safu ya viongozi wa dunia (194 kwa jumla, 24 tu kati yao wakiwa ni wanawake) walitoa hotuba kwenye Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kutoka…
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto, UNICEF linatoa wito kwa viongozi wa Afrika kufanya uwekezaji wa kifedha wa busara utakaowezesha watoto kupata ujuzi wa msingi wa kujifunza na…
Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya duniani, WHO limesema mlipuko wa ugonjwa wa Ebola kwenye jimbo la Kasai nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, (DRC) bado upo lakini maambukizi…
Umoja wa Mataifa umeitaka jamii ya kimataifa kutambua nafasi inayokua ya wazee katika kuunda jamii thabiti na za haki.
Huko Ukanda wa Gaza eneo la Palestina linalokaliwa kimabavu na Israel wanawake katika eneo la Deir al- Balah wanalazimika kutumia majiko ambayo wanachochea taka za plastiki na makaratasi ili kupota…
Shuguli za serikali ya Marekani zimesimama rasmi baada ya wabunge kushindwa kukubaliana kuhusu mpango wa matumizi ya serikali.
NAIROBI – Afrika Mashariki inashuhudia mabadiliko kwenye matumizi ya huduma za mitandao baada ya kampuni ya kutoa huduma za mitandao ya Mawingu kupokea ufadhili wa hadi dola milioni 20 ili…
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepitisha azimio la kukibadilisha Kikosi Maalumu cha Kimataifa nchini Haiti kuwa kikosi kamili cha kijeshi ili kukabiliana na magenge ya wahalifu yanayoitikisa nchi…
Nilipobisha mlango wa nyumba yake, Hamisa alikuja kunifungulia. Akanikaribisha ndani. “Karibu.” Sauti yake ilikuwa ya adabu na nidhamu. Niliomba Mungu asibadilike tena na kuwa chui.
Mzee alizipokea pesa hizo na kunishukuru. “Nitakapohitaji tena maelezo yako nitakufuata.” “Asante sana. Karibu na ninakukaribisha kwa mara nyinyine tena. Utakapohitaji kuja kwangu usisite, njoo tu.”
Nikaingia katika kile chumba. Mwanga uliokuwemo ulikuwa hafifu sana kwa sababu chumba chenyewe hakikuwa na dirisha. Ukuta wake wa upande wa nje ulijengwa kwa matofali na sehemu ya dirisha ilizibwa…
Aliyekuwa rais wa Senegal Macky Sall, wakati wa mahojiano yake nje ya nchi, amezungumza kwa mara ya kwanza kuhusu deni lililoikabili Senegal. Baada ya kuondoka kwa rais huyo wa zamani,…
Kwa wiki kadhaa, hali ya sintofahamu imetawala juu ya mustakabali wa mkataba huu wa kibiashara ulioanzishwa chini ya utawala wa Bill Clinton kati ya nchi 32 za Afrika na Marekani.…
Watu zaidi na zaidi wanajiunga na vuguvugu la maandamano yanayotikisa mji mkuu wa Madagascar, Antananarivo. Licha ya tangazo la Andry Rajoelina siku ya Jumatatu, Septemba 29, la kufutwa kwa serikali…
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, Jumanne, Septemba 30, limeidhinisha azimio lenye lengo la kubadilisha Misheni ya Usaidizi wa Polisi ya Haiti inayoongozwa na Kenya kuwa kikosi imara zaidi,…
Umoja wa Ulaya umesisitiza umuhimu wa kuwekeza katika ulinzi dhidi ya ndege zisizo na rubani barani Ulaya. Lakini Jumuiya hiyo imesema itachukua muda mrefu zaidi ili kujenga uwezo wa ulinzi…
Joseph Kabila alipanda madarakani akiwa na umri wa miaka 29 na kuiongoza DRC kwa karibu miongo miwili. Sasa akiwa uhamishoni na akikabiliwa na mashtaka ya usaliti na kuunga mkono waasi…
Kulingana na mgombea huyo, endapo CCM itapewa ridhaa ya kuongoza tena, serikali yake itaanza utekelezaji wa mpango wa Bima ya Afya kwa Wote ili kila Mtanzania awe na uhakika wa…
Jaji wa shirikisho siku ya Jumatatu amezuia mpango wa utawala wa Trump wa kuwafuta kazi mamia ya wafanyakazi katika shirika la utangazaji la Marekani/Sauti ya Amerika (VOA). Katika uamuzi huo…
Katika mkutano wa G20 kuhusu Akili Mnemba AI barani Afrika unaofanyika wiki hii, Shirika la Umoja wa Mastaifa la Elimu Sayansi na Utamaduni UNESCO limetangaza mfululizo wa suluhu bunifu na…
Mashirika ya Umoja wa Mataifa yamerejelea wito wao wa kutaka usitishaji wa mapigano wa haraka huko Gaza, eneo la Palestina linalokaliwa kimabavu na Israeli, ili kusaidia kupunguza mateso ya wapalestina,…
Zaidi ya miaka minane tangu zaidi ya wakimbizi 750,000 waislamu wa kabila la warohingya wakimbie Myanmar kuelekea kwenye kambi kubwa nchini Bangladesh, mgogoro huo bado haujapatiwa suluhisho
“Nyumba zimechomwa. Majirani wameuawa. Tumaini linapotea.” Kwa maneno hayo makali, Rais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa Annalena Baerbock amefungua mkutano wa ngazi ya juu wa Umoja wa Mataifa…
Licha ya hatua za hivi karibuni za kidiplomasia zilizofikiwa kwa maandishi, hali halisi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) bado ni mbaya, kwa mujibu wa Bintou Keita, Mwakilishi Maalum…
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC, Veronica Nduva, akizungumza na Idhaa ya Kiswahili ya Umoja wa Mataifa ameeleza jinsi jumuiya hiyo inavyoshirikiana na mashirika ya kikanda na kimataifa…
Kila mwaka tarehe 30 Septemba, Umoja wa Mataifa huadhimisha Siku ya Kimataifa ya Uafsiri.
Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu amekanusha kukubali kanuni ya taifa la Palestina katika video iliyorushwa leo Jumanne, Septemba 30, kwenye akaunti yake ya Telegram baada ya kuwasilishwa kwa mpango wa amani…
Iran imetangaza leo Jumanne, Septemba 30, kurejea wiki hii kwa raia wake 120 waliofukuzwa nchini Marekani, kama sehemu ya sera ya Rais Donald Trump ya kupinga uhamiaji. Uamuzi huu, mfano…
Mahakama Kuu ya Kijeshi ya Kinshasa inatarajiwa kutoa uamuzi wake leo Jumanne, Septemba 30, katika kesi inayomkabili rais wa zamani Joseph Kabila. Awali hukumu hiyo ambayio ilipangwa kutolewa Septemba 12,…
Waziri Mkuu wa Hungary Viktor Orban anajulikana kwa ukaribu wake na Moscow: anakataa kutoa msaada wa kijeshi kwa Kyiv na mara kwa mara anazuia mazungumzo ya kujiunga na Ukraine na…
Mwaka wa 2000, chini ya Bill Clinton, AGOA (African Growth and Opportunity Act) iliundwa kwa lengo la wazi: kuimarisha uhusiano wa kibiashara kati ya Marekani na Kusini mwa Jangwa la…
Hatua hiyo, iliyotangazwa mnamo Septemba 2025, ni mara ya kwanza kwa nchi yoyote kuweka rasmi majukumu ya mawaziri kwa mfumo wa Akili Bandia kama nji aya kukabiliana na ufisadi
Baada ya mwaka mmoja madarakani, Rais wa Mexico Claudia Sheinbaum bado anafurahia umaarufu mkubwa, hata kama anakabiliwa na changamoto kubwa, ikiwa ni pamoja na uhusiano mgumu na mwenzake wa Marekani,…
Afisa Mkuu Mtendaji wa kampuni ya Exxon, Darren Woods alitaka kuhakikishiwa usalama na rais wa Msumbiji Daniel Chapo kwa mradi wa gesi wa dola bilioni 30 kabla ya kuruhusu mpango…
Pesa za Mfuko wa madini kwa vizazi vijavyo zinakwenda wapi? Mfuko huu ambao umeundwa ili kuhakikisha maisha ya “baada ya uchimbaji madini” nchini DRC, una dhamira ya kujenga utajiri kwa…
Familia ya watu wanne wameuawa katika shambulio la ndege zisizo na rubani za Urusi katika eneo la Sumy kaskazini mwa Ukraine, mkuu wa utawala wa kijeshi wa kikanda, Oleg Grygorov,…
Utawala wa Rais wa Marekani Donald Trump unaunga mkono kuongezwa kwa mwaka mmoja kwa mpango wa kibiashara kati ya Afrika na Marekani, ambao muda wake unamalizika leo, 30, Septemba, kulingana…
Rais wa Madagascar, Andry Rajoelina, ametangaza kulivunja baraza lake la mawaziri kufuatia maandamano mabaya Zaidi kuripotiwa kwenye kisiwa hicho, raia wakipinga kukatika kwa umeme mara kwa mara pamoja na uhaba…
Mahakama maalumu nchini Sudan Kusini inayosikiliza kesi ya uhaini, mauaji na dhulma za kibinadamu dhidi ya aliyekuwa makamu wa kwanza wa rais Riek Machar, imetupilia mbali pingamizi la mawakili wa…
Mataifa 8 ya kiislamu yametangaza kuunga mkono mpango wa Amani wa rais wa Marekani Donald Trump, kuhusu vita vya Gaza licha ya kuwa baadhi ya wadau wa Palestina kuonesha kutoridhishwa…
Waziri wa Ulinzi wa Misri Abdul Majeed Saqr na mwenzake wa Somalia, Ahmed Moalim Fiqi, walijadili njia za kuimarisha ushirikiano wa kijeshi na kuunga mkono utulivu kote barani Afrika wakati…
Viongozi wa kikanda na kimataifa wanaitaka Hamas kukubali pendekezo la Marekani linalojumuisha kuachiliwa kwa mateka na kupokonywa silaha.
Rais wa Madagascar Andry Rajoelina ameifuta kazi serikali yake kufuatia maandamano makali dhidi ya kukatika kwa maji na umeme katika eneo la Bahari ya Hindi.
Cameroon inajiandaa kufanya uchaguzi mkuu Oktoba 12 mwaka huu wa 2025 ambapo wagombea 10 ndio wanaowania kiti cha Urais ikiwa ni pamoja na rais Paul Biya aliyeiongoza nchi hiyo kwa…
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema anaunga mkono pendekezo la mpango wa amani kwenye Ukanda wa Gaza baada ya mazungumzo na Rais Trump siku ya Jumatatu
Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema siku ya Jumatatu kuwa vikosi vya Urusi vinapata ushindi katika kile alichokiita "vita vya haki" nchini Ukraine.
Rais wa Venezuela Nicolas Maduro ametia saini amri inayompa mamlaka ya ziada ya usalama kunapotokea uvamizi wa kijeshi nchini humo.
Rais wa Madagascar Andry Rajoelina ameivunja serikali yake jana Jumatatu baada ya siku kadhaa za machafuko makubwa ambayo Umoja wa Mataifa umesema yalisababisha vifo vya watu 22.
Mamlaka ya Kiislam ya Taliban nchini Afghanistan imeamuru kuzimwa kwa mkongo wa taifa wa intaneti "hadi kutakapotangazwa vinginevyo."
Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu amesema anaunga mkono pendekezo la mpango wa amani kwenye Ukanda wa Gaza baada ya mazungumzo na Rais Trump jana Jumatatu huku akiwatahadharisha wapiganaji wa Hamas ikiwa…