Ameandika Msanii #Nikki_Mbishi kwenye Insta Story Yake
Ameandika Msanii #Nikki_Mbishi kwenye Insta Story Yake.. . "Uhuru umerudi, Umeme umerudi bado maji tu. Uhuru bila kuoga na hili joto ni Utumwa" Nikki ameandika hayo kupitia kwenye mtandao wake…
Ameandika Msanii #Nikki_Mbishi kwenye Insta Story Yake.. . "Uhuru umerudi, Umeme umerudi bado maji tu. Uhuru bila kuoga na hili joto ni Utumwa" Nikki ameandika hayo kupitia kwenye mtandao wake…
Mkoa wa Lindi umetangaza mpango wa kuongeza wigo wa biashara ya kilimo kwa kujumuisha uzalishaji wa mazao ya chakula, mbogamboga na matunda ili kuwawezesha wa wananchi wa mkoa huo kuwa…
#MICHEZO: @ahmedally_ meneja wa idara ya habari na mawasiliano Simba amezungumza na @hoseamchopa kuwa Simba inafanya haraka iwezekanavyo wakati wachezaji wanarudi kwenye timu Desemba 28, 2025 wapokelewe na Kocha Mkuu…
NA NYIE MMEGUNDUA NINI..😀
Tunaendelea na sehemu ya pili ya THE PRICE leo kuanzai saa 3:00 usiku ndani ya #AzamTWO Sarah amepata kazi. Bosi wake ni pasua kichwa mambo bado hayajamnyookea.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameungana na viongozi wengine wa serikali kutoa salamu za pole kufuatia kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama,…
Huu mwaka mchungu Maneno ya mwanasheria wa kimataifa "Kamati ya Seneti ya Mahusiano ya Kigeni iko sahihi katika kusema kwamba kwa bahati mbaya, uwekezaji wa Marekani nchini Tanzania hauwezekani tena…
Mamlaka nchini Australia zimeachia video inayoonesha tukio la mwana-parachuti alivyokwama kwenye bawa la ndege Septemba 20 mwaka huu … maelfu ya mita juu ya anga la Far North Queensland. Shujaa…
🔴HAPA NA PALE KUTOKA TANGA - DESEMBA 11, 2025 -
MAPENZI MUBASHARA AZIZ KI NA MOBETTO😀�
Ukumbusho mtakatifu umezua balaa baina ya makundi tofauti. Tekfur Lukas hakubaliani na suala la Alaeddin kukamatwa na Tekfur Andre. Kalesi Bey anaendelea kutanua mbawa zake. Usikose leo OTTOMAN kuanzia saa…
Mwandishi wa habari bado ni pasua kichwa kwa Maryam...Je, ataandika hiyo stori? Usikose kutazama Ummy leo saa 1:00 usiku ndani ya #AzamTWO
Yusuf anajaribu kumuhadaa bibi yake ili achukue ile bangili ya kina Jemo. Yavut anapokea maneno ya kejeli ya mama yake kuhusu kutohakikisha Aziza yuko mikononi mwake. Usikose kutazama 06 OF…
Rais Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za rambirambi kwa Spika wa Bunge, Mussa Azzan 'Zungu' kufuatia kifo cha aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Peramiho, Jenister Muhagama aliyefariki leo jijini Dodoma.…
Waziri Mkuu, Dkt Mwigulu Nchemba leo Desemba 11, 2025 you amehani msiba wa aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Peramiho, Jenista Joakim Mhagama, Itega jijini Dodoma. Mhagama amewahi kushika nyadhifa mbalimbali…
WAKATI mchezo wa kikapu hapa nchini ukizidi kukua kwa kasi, nyota wa timu ya Stein Warriors Jonas Mushi amewataka wachezaji wazawa wa mchezo huo wasiridhike na kiwango walichonacho.
#HABARI: Maandalizi ya msiba yakiendelea nyumbani kwa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho mkoani Ruvuma katika eneo la Itega jijini Dodoma. #ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania #Follow @itvtz @radioonetanzania @capitaldigitaltanzania
BAADA ya timu ya Dar City kutwaa ubingwa wa Ligi ya Taifa ya Mpira wa Kikapu (NBL) 2025, kocha wa timu hiyo Mohamed Mbwana amesema amepitia mengi katika maisha yake…
The Old Man Series mpya ndani ya AzamONE inaanza leo saa 4:00 usiku. Series hii itaruka Jumatatu - Ijumaa. #TheOldMan #AzamONE
Hali ya huzuni imetanda nyumbani kwa marehemu Jenista Mhagama, Mbunge wa Peramiho, huku ndugu, jamaa na marafiki pamoja na viongozi wa vyama mbalimbali vya siasa wakiendelea kuwasili wakitoa pole kwa…
NAHODHA wa timu ya taifa ya Tanzania ya wasichana, Elizabeth Chenge amesema ilikuwa lazima wanyakue ubingwa wa Mashindano ya Shule ya ‘CECAFA Zonal CAF African Schools Football Championship’ kutokana na…
Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo ya Nje ya Seneti ya Marekani, Seneta Jim Risch, amekoso vikali serikali ya Tanzania kwa kufunga nchi wakati wa maadhimisho ya Siku ya Uhuru tarehe…
LIGI Kuu ya Wanawake (WPL), inatarajiwa kuendelea tena kwa kupigwa mechi tatu za viporo zitakazopigwa leo kwenye viwanja vitatu tofauti ikiwemo moja ya JKT Queens dhidi ya Bilo Queens.
UONGOZI wa kikosi cha KMC unaendelea na mchakato wa kusaka kocha mpya atakayerithi nafasi ya Mbrazil Marcio Maximo, huku Kocha, Malale Hamsini aliyeachana na Mbeya City hivi karibuni na Abdallah…
BAADA ya mapumziko ya wiki moja, kikosi cha Singida Black Stars kinaingia tena kambini Desemba 14, huku kocha msaidizi wa timu hiyo, David Ouma akieleza mikakati mipya, kabla ya kurejea…
Wanenaji wakuu kwenye kipindi maalum kitakachoangazia mchango wa madini ya kimkakati katika ukuaji wa uchumi na ustawi wa jamii. Ni leo Desemba 11, 2025 Mbashara ndani ya UTV kuanzia saa…
Leo ni kumbukizi ya siku ya kuzaliwa kwa mmoja kati ya wahariri wa picha jongefu waliofanya kazi nyingi zilizoruka ndani ya #SinemaZetuHD chaneli namba 106 kwenye kisimbuzi cha #AzamTV Anaitwa…
Baadhi ya wahitimu wa vyuo vikuu nchini, wameshauri vijana wenzao wanaomaliza elimu ya juu kujikita katika kupata mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA), ili waweze kujiajiri badala ya kutegemea ajira za…
KIUNGO wa Azam, Idd Seleman 'Nado' amempiku aliyekuwa nyota mwenzie wa kikosi hicho aliyepo Yanga kwa sasa, Prince Dube na mshambuliaji wa zamani wa Simba, Meddie Kagere ya kufunga mabao…
Hekari 498.3 za sehemu ya hifadhi ya Mlima Hanang uliopo wilayani Manyara zimeteketea kwa moto ambao ulizuka tangu Desemba 3, 2025 huku chanzo cha moto huo kikiwa bado hakijulikani. #AzamTVUpdates…
"Huyu Binti wa kizazi cha Genz ana taarifa nyingi kiasi kwamba wakati mwingine hajui ni taarifa ipi sahihi na ipi siyo sahihi"- @Aunty_Kauthar Mwandishi wa Vitabu na Mkufunzi wa Malezi.…
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule, amesema kifo cha Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama, ni pigo kubwa kwa mkoa wa Dodoma na taifa kwa ujumla, akieleza kuwa marehemu alitoa…
Viongozi mbalimbali wa Serikali na Chama wameanza kufika nyumbani kwa Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama, eneo la Itega jijini Dodoma, kutoa salamu za pole kufuatia kifo chake kilichotokea ghafla asubuhi…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. DK. Samia Suluhu Hassan, ameonyesha kusikitishwa na kifo cha mbunge wa Jimbo la Peramiho, Mhe. Jenista Mhagama kilichotangazwa leo 11.12.2025 na spika…
Chuo Kikuu cha Iringa (UoI) kimeanzisha kituo maalumu cha msaada wa kisheria kwa wananchi wa kipato cha chini, kinacholenga kuhakikisha huduma muhimu za kisheria zinapatikana. Lengo ni kuwasaidia wananchi wanaoshindwa…
Baadhi ya shule za sekondari mkoani Ruvuma zinazoendesha shughuli kama za ufugaji na kilimo cha bustani ndogo, zimeeleza kufanikiwa katika namna mbalimbali, ikiwemo kuboresha lishe kwa wanafunzi na kuchochea ari…
ALAMA za Sultani Tamba tutazitazama leo kuanzia saa 2:00 usiku ndani ya #SinemaZetuHD @sophiamgaz anasema huyu ni mbunifu asiyechoka, mwandishi aliyefungua njia kwa vizazi vipya. Jiwe la msingi la #BongoMovies.…
"Nimekuwa kwenye mazingira ambayo sina mtu wa kumwambia kwamba nina shida fulani. Kwahiyo hatua ngumu nilizokuwa napiga Mimi binafsi nilikuwa naziona kwa watu wengine"-@Aunty_Kauthar Mwandishi wa Vitabu na Mkufunzi wa…
Mbunge wa Jimbo la Peramiho mkoani Ruvuma, Jenista Mhagama amefariki Dunia leo jijini Dodoma. Taarifa ya kifo chake imetolewa na Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu ambaye ametoa pole kwa…
#LIVE:TAARIFA YA HABARI YA ADHUHURI - 11/12/2025
HATIMAE RAIS AONEKANA HADHARANI
Kampuni ya Amsons Group ya Tanzania imetangaza uwekezaji wa Dola za Marekani milioni 600 kwa ajili ya ujenzi wa mradi mkubwa wa umeme wa jua wenye uwezo wa Gigawati 1…