Azam FC yaifumua Simba Kwa Mkapa
Mechi bora ya Ligi Kuu Bara imepigwa leo kwenye Uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam na Azam kumaliza ubabe wa Simba kwa kuichapa mabao 2-0.
Mechi bora ya Ligi Kuu Bara imepigwa leo kwenye Uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam na Azam kumaliza ubabe wa Simba kwa kuichapa mabao 2-0.
Mechi bora ya Ligi Kuu Bara imepigwa leo kwenye Uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam na Azam kumaliza ubabe wa Simba kwa kuichapa mabao 2-0.
"Walimuua Sankara kisha wakaweka Rais wanayemtaka wao kwa maslahi yao, baada ya kumuondoa Rais waliyemtaka wao sasa wanajaribu kutugawa kupitia sisi kwa sisi kupitia vikundi vya uasi, wanatufanya tupigane sisi…
#HABARI: Kundi lenye Tembo zaidi ya 15 wamevamia hekari zaidi 55 na kula pia kuharibu zaidi ya hekari 3 za miti ya mikorosho, mahindi na miti ya matunda, kwenye kilimo…
Katika Halmashauri ya Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, viongozi wapya wa kisiasa wameweka msisitizo katika usimamizi wa mapato, uimarishaji wa huduma kwa wananchi na kuboresha uchumi wa kaya, muda mfupi…
... Marekani kwenye ujumbe wao wanasema kuwa vitendo vya hivi karibuni vya serikali ya Rais Samia vimeweka hatarini maslahi yake ... Wengi tunafikiri kuwa ni yale yaliojiri October 29 ?…
🔴HAPA NA PALE KUTOKA KATAVI - DESEMBA 07, 2025 -
"Zile picha zilizooneshwa CNN sio za kweli Kuna baadhi zilipigwa mwaka 2021 wakati Wa Kifo Cha Magufuli" -Gerson Msigwa masemaji mkuu Wa Serikali
Leo saa 4:00 usiku, katika movie ya kihindi kupitia AzamTWO ni movie ya Super 30. Movie hii imetafsiriwa kwa Kiswahili. #Super360. #AzamTWO
#HABARI: Aliyewahi Mbunge wa Jimbo la Kiteto na Naibu Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, katika Serikali ya Awamu ya Nne, Mh. Benedict Ngalama Ole Nangoro, amefariki dunia alfajiri…
#HABARI: Mamlaka ya Mapato Tanzania Nchini (TRA), imejenga na kukabidhi kituo cha biashara kwa wanawake wajasiriamali wa eneo la Namanga, hatua iliyotajwa kuwa ukombozi mkubwa kwa wafanyabiashara hao. Akikabidhi kituo…
MZIGO wa Ligi Kuu ya Wanawake (WPL) umerudi tena kwa mechi tatu kutarajiwa kuchezwa kesho Jumatatu Desemba 8, 2025, ikiwamo ile ya watetezi wa taji JKT Queens itakayokuwa inakula kiporo…
MZIGO wa Ligi Kuu ya Wanawake (WPL) umerudi tena kwa mechi tatu kutarajiwa kuchezwa kesho Jumatatu Desemba 8, 2025, ikiwamo ile ya watetezi wa taji JKT Queens itakayokuwa inakula kiporo…
Kwa Said mambo mazito na Chioma wake. Nawanda kazi inataka kuota mbawa. Usikose kutazama Noma leo saa 1:00 usiku kupitia #SinemaZetuHD
Babalevo ameonyesha Mchoro wa Nyumba yake anayoijenga katika Jimbo la Kigoma Mjini na itagharimu zaidi ya Bilioni 4. Katika ujenzi wa Nyumba hiyo inatarajiwa kutolewa ajira kwa vijana wa Kigoma…
NAHODHA Msaidizi wa Geita Gold, Saidy Mbatty amewataka wachezaji wenzake kuendelea kucheza kwa ushirikiano mkubwa hadi mwisho wa msimu, kwani kwa kufanya hivyo itakuwa ni njia nzuri ya kufanikisha malengo…
🚨 Mapinduzi ya Kijeshi yamefanyika nchini Benin mchana huu ambapo Rais Patrice Talon amepinduliwa na Kundi la Wanajeshi wakidai wazi kuwa ni Kibaraka wa Wafaransa, ikumbukwe Benin ishawahi kuwa na…
KOCHA Mkuu wa Transit Camp, Shadrack Nsajigwa amesema kucheza mechi tano ugenini msimu huu bila ya kupoteza ni ishara ya ukomavu kwa wachezaji wa timu hiyo, licha ya ushindani mkubwa…
CHAMA la mshambuliaji wa Mtanzania Mgaya Ally (Salalah SC), linaloshiriki Ligi Daraja la Kwanza Oman liko kwenye hali mbaya katika msimamo wa ligi.
KIUNGO wa Mogbwemo Queens, Mtanzania Zuwena Aziz ‘Zizou’ amesema amebaini vitu tofauti tangu alipojiunga na chama hilo linaloshiriki Ligi Kuu ya Wanawake Sierra Leone.
KIUNGO wa Shamakhi FC, Alphonce Mabula ameeleza sababu za timu hiyo kutoanza vizuri katika Ligi Kuu Azerbaijan msimu huu, akitaja ugumu wa ligi hiyo na ushindani uliopandishwa na timu zinazoshiriki…
BEKI raia wa Tanzania, Jackson Kasanzu anayekipiga Tormenta FC ya Marekani baada ya kuitwa kwa mara ya kwanza kwenye kikosi cha timu ya taifa ‘Taifa Stars’ kitakachowania Fainali ya Mataifa…
#HABARI: Shirika la Madini la Taifa (STAMICO), limesema katika kuendelea kuboresha shughuli za uchimbaji na kuongeza thamani na ubora wa makaa yake ya mawe yanayochimbwa katika Mgodi wa Kiwira Kabulo,…
#HABARI: Katibu Tawala wa Wilaya ya Mbarali, mkoani Mbeya, Bw. Frank Sichalwe, ametoa wito kwa madiwani walioapishwa kutambua kwamba nafasi waliyopewa ni dhamana kutoka kwa wananchi, hivyo wanapaswa kuwatumikia kwa…
Ilibaki kidgo tu, ZELIHA aachwe na ndugu zake baada ya fikra za usiku mzito akishuhudia miili ya wazazi wake chini 🥹😭 Usikose 6 OF US leo saa 2:00 Usiku #AzamTWO
Jeshi la polisi mkoani Mwanza kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama wamefanikiwa kuwakamata watu 116 kwa tuhuma za kuhamasisha maandamano ya Disemba tisa. Akizungumza na waandishi wa…
🔴TAMASHA LA MICHEZO:............... DESEMBA 07, 2025
Mwamini kazileta habari bado za moto kabisa 🙌😅
WITO WA MKUU WA MKOA WA NJOMBE RC MTAKA AKIWA KATIKA IBADA YA JUMAMOSI, KANISA LA WA ADVENTIST WASABATO NJOMBE MJINI. 1. Vijana wetu wa Kitanzania wana wajibu wa kulinda…
PLO LUMUMBA anasema, angepewa nafasi ya kuishauri Tanzania, angesema yafuatayo 👉 Angemuambia Rais aitishe mkutano wa vyama vyote vya siasa vilivyo sajiliwa Tanzania, baada hicho kikao 👉Aitishe kikao Cha asasi…
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imesema itaendelea kutoa ushirikiano katika kuhakikisha sekta ya michezo inaimarika zaidi na kutoa faida chanya kwa wanamichezo.
KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Mohamed Bajaber amesimulia namna alivyokuwa anapitia wakati mgumu kipindi alipokuwa anasumbuliwa na majeraha na ilibaki kidogo aondolewe kikosini bila kuonja mechi ya mashindano.
CHAMA cha Makocha Tanzania (TAFCA) Mkoa wa Mwanza kimeungana na baadhi ya mashabiki na wadau wa soka nchini wanaompigia chapuo kocha mzawa Selemani Matola kuaminiwa na Simba na kupewa jukumu…
GEITA Gold inazidi kuchanja mbuga katika vita ya kupanda daraja kwenda Ligi Kuu msimu huu, huku ikiendelea kugawa vichapo kwa wapinzani na kutuma ujumbe kuwa imejipanga vyema kwa safari hiyo…
KOCHA wa Singida Black Stars, Miguel Gamondi ni kama haiwezi TRA United (zamani Tabora United) baada ya jana jioni kuendeleza rekodi mbovu mbele ya Watoza Ushuru hao kwa kukubali kichapo…
KIUNGO wa Fountain Gate, Abdallah Kulandana bado anaweweseka na kipigo cha mabao 2-0 ilichopewa timu hiyo na Yanga, huku akilitaja bao la Prince Dube lililotokana na penalti kuwa ndilo lililowatoa…
NBC Premier League leo Jumapili Saa 11:00 ni Mzizima Derby, Simba SC watakuwa uwanja wa Benjamin Mkapa wanawaalika matajiri wa jiji AzamFC. Saa 1:15 usiku, Coastal Union ‘Mangushi’ watakuwa uwanja…
Mwamini anafanya sasa kazi yake vizuri iliyomtuma kwa Chiku...Siwa alia kisa shughuli ya Mashavu kuharibika. Usikose #KombolelaSeries leo saa 1:30 usiku ndani ya #SinemaZetuHD
🔴#MAGAZETI:SIKUKUU, MAANDAMANO HISIA MCHANGANYIKO / NI VITA YA IBENGA NA MATOLA ..DESEMBA 07, 2025
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI...DESEMBA 07, 2025
KIPINDI MAALUM | Karibu Tamthilia ya Picha Yangu #SinemaZetuHD #HakikaNiZaKwetu #AzamTV
#HABARI: Jeshi la Polisi mkoani Mwanza limekamata shehena ya vitu mbalimbali vilivyoporwa katika makazi ya watu, viwandani na maeneo mengine, ikiwemo mashine mbili za ATM mali ya Benki ya CRDB…